joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wanawake wengine wanajua baba wa mtoto anaamua kumkomoa baba halisi wa mtoto kwasababu anazojua mwenyewe.Ila wanawake wana siri kubwa sana. Sasa kwanini baba wa mtoto asijulikane? Au alibakwa na asiyemjua?
Jina la mama lipo mbona?Hafu mtoto atakua na surname ya nani?
Uislamu ushabainisha hili jambo mda mrefu tu kwa mfano mtoto wa nje ya ndoa ataitwa ubini wa mama ake
Mariam juma issa ni mzazi na mtoto ataitwa Abdallah mariam juma issa
Kwisha habari
Nawapenda sana waislam. Mambo yao yamo ndani ya Kur'an. Wakristo tuna shidaUislamu ushabainisha hili jambo mda mrefu tu kwa mfano mtoto wa nje ya ndoa ataitwa ubini wa mama ake
Mariam juma issa ni mzazi na mtoto ataitwa Abdallah mariam juma issa
Kwisha habari
Imagine Anthony AgnessJina la mama lipo mbona?
Haikatazwi. Jirani wangu Anaitwa MARIAM AGNES
ππππAtaitwa tu Fulani bin Hajulikani
Ya mama yake.Hafu mtoto atakua na surname ya nani?
Huko sahihi. Ila nadhani RITA wamesema hivyo ili watoto wapewe majina ya baba zao halisi ili kuondoa migogoro ya majina wa watoto.Hii hapana aisee, kwa mtoto haitokuwa sawa kiakili mwake
Bora ht liandikwe la baba mlezi au kama hakuna bc ht la baba mzazi wa mamaHuko sahihi. Ila nadhani RITA wamesema hivyo ili watoto wapewe majina ya baba zao halisi ili kuondoa migogoro ya majina wa watoto.
Kwa hakika mtoto mwenye baba ambae ni wewe!Andiken pdidy
Nilisoma na mtu mmoja anaitwa John Amani Elizabeth.Imagine Anthony Agness