Wakristu Hatuna Shida Yeyote.Nawapenda sana waislam. Mambo yao yamo ndani ya Kur'an. Wakristo tuna shida
ChaiNilisoma na mtu mmoja anaitwa John Amani Elizabeth.
Halafu ni mtu mkubwa sana wa kiroho kwa sasa. Nafhani ni Askofu.
Ilikuwa miaka ya 1970's
Thanks ata ww unakaribishwaNawapenda sana waislam. Mambo yao yamo ndani ya Kur'an. Wakristo tuna shida
John Doe.Hafu mtoto atakua na surname ya nani?
Yeah kiufup walchelew saan yaan huo mchezo niwakipumpavu saana!yaan kuliendekeza hlo jambo nikumpa haki mwanamke(ambaye anajua altendelo) kulko mtoto ambaye ni innocent 100% ktk hlo.Rita wameamua,hawataki mambo ya kusingiziana mimba,kila baba mwenye mimba yake ndiyo jina lake liwekwe hata kama Baba ni chizi!!
Yote haya kasababisha Yesu. Unknown father Hisa bin Mariam
Kuna dogo anatumia jina "Furaha Ashura"(sio jna halisi lkn lina sura hiyo) yaan huwa anajkuta mnyonge saana ukzngatia yuko uboizin maana kuna wengne wakskia hlo jina wanahis ni ke.Kwahyo wama wakiamua kutumia majna yao kama ubin waafkirie kuhusu future za watoto wao hasa wakiwa wakiume.Ukzngatia huyo mtoto hataishi na jamii yake wakat wote.Hivi si kuna watu wanatumia Ubini wa Mama?
Mimi nilikua na rafiki Yangu Anaitwa Eli Rehema (Jina la Baba)..
Ila nilishasikia Kuna watu wanatumia jina la mama Full
Hii hapana aisee, kwa mtoto haitokuwa sawa kiakili mwake
Na hakuna mimba isiyokua na baba halisi, wanawake waanze kuwajibika kutokana na makosa yao, hakuna kuwabeba beba bure!!Yeah kiufup walchelew saan yaan huo mchezo niwakipumpavu saana!yaan kuliendekeza hlo jambo nikumpa haki mwanamke(ambaye anajua altendelo) kulko mtoto ambaye ni innocent 100% ktk hlo.
Issa bin Mariam, unamfahamu?Chai
Shida ipo kubwa mno. Agano la kale na Jipya vinakinzana.Wakristu Hatuna Shida Yeyote.
Itamshushia hadhi sana na kumdharirisha mtotoMtoto akikua atajua kabisa mzazi wake wa kike alikuwa anatembeza nyapu hovyo.
Ya RITAHafu mtoto atakua na surname ya nani?