Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

Huuu uhuni sana haki haitendeki kwa sisi nao no unyanya saji
 
Mbona watakuwa wengi sana ambao baba yao atakuwa ni " Hajulikani"😀😀😀
Baba wote wanajulikana,kwa maana mimba inatungwa na wawili,yaani mwanamke na mwanaume, sasa kwa nini useme baba hajulikani wakati mtoto kesha patikana!!??
 
Baba wote wanajulikana,kwa maana mimba inatungwa na wawili,yaani mwanamke na mwanaume, sasa kwa nini useme baba hajulikani wakati mtoto kesha patikana!!??
wanaume si wakimbia majukumu ndio sababu si umesoma wahusika wakitoa majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…