PreGE2025 Rita Paulsen (Madam Rita): Kupiga Kura ni Haki yako wewe mwenye sifa, sasa jiandikishe ili uipate haki hiyo

PreGE2025 Rita Paulsen (Madam Rita): Kupiga Kura ni Haki yako wewe mwenye sifa, sasa jiandikishe ili uipate haki hiyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama fulani, hiyo ni haki yako na una haki ya kupiga Kura

Rita Paulsen maarufu Madam Rita
Mwanzilishi wa Bongo Star Search

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


1742822519957.png
​
 
Ni haki yangu kweli....sasa swali...hii haki yangu inaheshimika?...je ina nguvu yeyote?....kama haiwezi kunipa ninanachokitaka kwa nini niwe nayo
 
Back
Top Bottom