Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Naushauri uongozi wa RITA, kuliko kuwa na aina ile ya wateja ni bora wakae bila wateja. Hakuna Corporate Office inaweza kupanga pale halafu ikawa ina share mazingira na wapangaji wale.
Hilo Mzizima Tower lilianza kujengwa kwenye mwaka 2010. Hadi 2015 anapokuja Magufuli likikuwa almost 40%.. Then Magufuli akawa na issues na uongozi wa NSSF, akaubadili na kisha aka question miradi yao mingi including Dege Eco Vollage na hiyo Mzizoma Tower. Hivyo miradi ikasimama.Hv Jengo linalojengwa hapo posta karibu na Azikiwe au mkabala na St Albans ni mradi wa hz pension funds ? au nataka tuu kufahamu waungwana
Yani mama ntilie wanakaa chini ya hiyo ghorofa duu. Kweli bongo bahati mbayaUmeona Mkuu!! Ukitoka tu pale njee unakutana na Mama Ntilie na waendeaha bodaboda. Pathetic
Yaani unamaanisha hao watu hawatakiwi kuwepo hapo? Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa!Umeona Mkuu!! Ukitoka tu pale njee unakutana na Mama Ntilie na waendeaha bodaboda. Pathetic
Aseeh shukrani kwa taarifaHilo Mzizima Tower lilianza kujengwa kwenye mwaka 2010. Hadi 2015 anapokuja Magufuli likikuwa almost 40%.. Then Magufuli akawa na issues na uongozi wa NSSF, akaubadili na kisha aka question miradi yao mingi including Dege Eco Vollage na hiyo Mzizoma Tower. Hivyo miradi ikasimama.
Alipokufa Magu ndiyo ujenzi umeendelea hadi hapo unakaribia 95%
Dawa ni kuliacha jengo kwa wataalamu wa Real Estate Management kama Knight Frank, JLL, Colliers, SILA, RE/MAX Tanzania, Comfort Zone Real Estate na ProinView attachment 3374310 Moja ya majengo mazuri na marefu yanayopendezesha jiji la Dar es Salaam. Lilikamilika mwishoni mwa awamu ya JK. Nilipita mara mbili kwenye ofisi moja nilisikitika kuona jumba hilo la gharama lisivyokuwa na hadhi. Wamejaa wapangazi wa kupimiwa viofisi vidogo vidogo vya Clearing & Forwarding, Mawakili wadogo wadogo, madalali etc.
Naushauri uongozi wa RITA, kuliko kuwa na aina ile ya wateja ni bora wakae bila wateja. Hakuna Corporate Office inaweza kupanga pale halafu ikawa ina share mazingira na wapangaji wale.
NSSF na PSSSF (Siyo PSSF) yote mashirika ya ummaAseeh shukrani kwa taarifa
NSSF NA PSSF zote ni mashirika ya umma au ?
Wameshafanya hivyo,hilo jengo linasimamiwa na kampuni inaitwa Proper ConsultDawa ni kuliacha jengo kwa wataalamu wa Real Estate Management kama Knight Frank, JLL, Colliers, SILA, RE/MAX Tanzania, Comfort Zone Real Estate na Proin
Muda wa Shirika la Serikali kujihusisha na majengo umepitwa. Tangaza tender ya ku outsource shughuli, waache wagombee. Atakayeshinds mpe mkataba halafu Serikali kula commission tu
Ahaaaa Asante mkuu,NSSF na PSSSF (Siyo PSSF) yote mashirika ya umma
Binafsi Yale hayanivutii, naona kama yamejitenga tuu kama nembo ya dar,Inategemea uchkuaji wa picha umefanyika angle gani?? Hata hilo la RITA nalo linaongeza mvuto