RITA Tower Linapendezesha Jiji, lakini wapangaji wake ni kajambanani tu

RITA Tower Linapendezesha Jiji, lakini wapangaji wake ni kajambanani tu

Naushauri uongozi wa RITA, kuliko kuwa na aina ile ya wateja ni bora wakae bila wateja. Hakuna Corporate Office inaweza kupanga pale halafu ikawa ina share mazingira na wapangaji wale
Jengo la umma unataka wake kina Mo dewji pekee? Acha roho mbaya!!
 
Back
Top Bottom