RITA Tower Linapendezesha Jiji, lakini wapangaji wake ni kajambanani tu


Kweli akili huna, wapelekee wateja
 
Pumbavu ,huna akili .Umeshawahi hata kuingia kule au kufanya kazi moja ya ofisi ya kule ndani , elevetors hazifanyi kazi ,vyoo vichafu ,Ac hazifanyi kazi , taa mbovu ,mifumo ya umeme ni mibovu ,hata generator ni la kuibia ibia , hata mpaka leo hii watu wanapanda ngazi ,elevators hazifanyi kazi , umeme usio wa uhakika na wapangaji wanalipa kodi ndefu kwa mwezi ,actually wameanza kuhama ,mimi ninafanya kazi kwenye moja ya kampuni iliyomo humu , na ninaambatanisha barua hii ili uamini kama uamini , serikali yenu ya vilaza ni takataka ,jengo lina miaka michache tu lakini miundombinu imechoka kama ni jengo la mwaka 80 ,pumbavu mkubwa .
Poor management , na wewe unakuja na vichwa lako kama tango pori unatoa mada ya upupu bila kufanya research , nyani wewe ,Hebu pitia hii barua , yaani elevetors hizo zimechoka wamefanya kuhamisha vifaa mpaka vifaa vyote vimeisha imebaki elevators moja kwa jengo la floors 25 na yenyewe muda mwingi haitembei na ikitembea ni risk kwa sababu mpaka zile guard cables zinalia na inakwama mara nyingi , mpaka siku ianguke au ikwame mpaka watu wafe ndio serikali yenu ya vilaza ielewe .
Unajua gharama za pango kule kwa square meter ni ngapi ? ,unajua gharama za huduma kama maji ,umeme nk kwa mwezi ni ngapi mule we zoba ?
 
Actually nimepanda ngazi siku nyingi mpaka nimesahau elevators ziliwahi fanya kazi lini humu kwenye hili shithole lenu mnalolisifia , watu wanahama na bad enough kila siku ni dana dana tu za kipumbavu kutoka kwa uongozi wa jengo , serikali ya ccm ni takataka
 
MAmamamamaeee makavu live kwa lichawa
 
Papapapa papapapa lichawa limekaaaa! Limekula za uso😀😀
 
Majengo mengi marefu Huwa ni hasara tu.mfano pspf pale bandarini na kule mawasiliano jengo la NHIF kama sikosei yote hayana wapangaji
 
Unaweza kuweka hiyo barua mkuu ? Umesahau kuiambatanisha. Inatisha mno jengo la billions kuendeshwa kiholela


---
Ahsante nimeiona
 
Haha Dah hizi spana
 
ghalama

biashala

etc

kwa lafudhi hiyo unaona kabisa lazima atakua mtetezi wa wapangaji waswahili wachafu chafu wasio na hadhi
 
Sasa Mkuu Kimbukiko mbona unatukana na kumisakama mimi kama vile ndiye CEO wa RITA? Huoni kama vile post yangu inasaidia kuwafanya RITA waamke na kuchukua hatua kukabiliana na hali hiyo?

Jifikirie vizuri uone kama mimi ni mpumbavu
 
Soma humu
Nimeisoma barua na nimeielewa. Naamini hata post yangu nimeweka kwa minajili ya kufanya wahusika wachukue hatua.

Ni aibu kwa mabilioni ya pesa za Serikali zilizotumika kujenga jengo hilo halafu linakuwa na mediocre management kiasi hicho
 
Ndiyo maana nimeleta huu uzi ili RITA waelewe kuwa hawazitendei haki kodi za Watanzania. Aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…