River ni mbovu KULIKO Ruvu shooting, Yanga asipopita nusu fainal nitawadharau sana

Angalia hii
 

Attachments

  • 95F30BE9-48D3-4EB1-B4AC-C1CBDDE131B9.png
    38.5 KB · Views: 2
Alifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.
Nyie mtaendelea kupayuka sana na bado ndio kwanza koki imefunguliwa, kuwa mchawi sio mpaka upige manyanga unaweza kuwa mchawi wa roho kama wewe
 
Huku Unga Ltd Arusha timu yetu Ya vitambi noma tuko vzr, Rivers utd hakuna mchezaji anaweza pata namba pale vitambi noma
 
Alifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.
Na wewe si umemfunga moja bila kwa mkapa?,...
Subiri umalize na kwao kwanza ndo ulete takwimu,usije fikiri kule utabana na kutoka bila bila,hao jamaa wakiwa ugenini huwa hawaweki nguvu kubwa ya kushinda,huwa wanatafuta at least draw na ikishindikana draw basi inakua kama hivyo kamoja tu,ili tushawishike kuwa simba ni kubwa basi kule kwao unatakiwa utoke bila bin bila,vinginevyo ni maafa kwa taifa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…