Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa uko wapi wewe popoma au ujasikia kilichojiri uko kwao Rivers.river ni timu mbovu ila uto lazima walowanishwe tu.....
Nyie mtaendelea kupayuka sana na bado ndio kwanza koki imefunguliwa, kuwa mchawi sio mpaka upige manyanga unaweza kuwa mchawi wa roho kama weweAlifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.
Na wewe si umemfunga moja bila kwa mkapa?,...Alifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.