Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Leta hapa ushahidi otherwise wewe pia unaendelea ku prove umbumbumbu mlionao. Mnaleta habari zavijiweni na mnatumia nguvu kuhalalisha mbumbumbu wenzenu waamini.Labda kwa Kuroga na Kununua Mechi au kwa Kuwahonga Wachezaji na Kamisaa kama tulivyofanya katika Mechi Tatu Nne za Kimataifa huku mkisaidiwa na Waandamizi Wawili kutoka TFF.
Mkuu hivi uliangalia mechi ya Rivers United na Asec Mimosas?.Rivers United ndio ilikuwa timu dhaifu kati ya zile 3. Labda km hufuatilii mbira na umekariri. Hebu nikumbushe ni lini mara ya mwisho kwa klabu ya Nigeria kufanya vizuri kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika?
Huna timu ya kushabikia Tanzania mpaka umeamua kwenda NigeriaNichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.
Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.
Kudadadeki....!!!!!!
Hivi kama Yanga ilifungwa na Simba goals 2 Kwa sifuri, Rivers ingecheza na Simba si ingefungwa 7??Mabina beere
Kudadadeki Mayele Mayele amekufanya vibaya angalia chupNichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.
Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.
Kudadadeki....!!!!!!
hao hao Rivers waliifunga Waydad 2 - 1 Nigeria .Hivi kama Yanga ilifungwa na Simba goals 2 Kwa sifuri, Rivers ingecheza na Simba si ingefungwa 7??
Uti na masala angu?Hivi kama Yanga ilifungwa na Simba goals 2 Kwa sifuri, Rivers ingecheza na Simba si ingefungwa 7??
PopomaHivi kama Yanga ilifungwa na Simba goals 2 Kwa sifuri, Rivers ingecheza na Simba si ingefungwa 7??
Umemjibu vizuri sana, Watanzania huwaga wanatumia metrics za kijinga sana kuchambua mpirahao hao Rivers waliifunga Waydad 2 - 1 Nigeria .
kakojoe ulaleNichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.
Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.
Kudadadeki....!!!!!!
Wenzio baada ya matokeo wanaifananisha na ruvu shootingMkuu hivi uliangalia mechi ya Rivers United na Asec Mimosas?.
Rivers ni ya moto, Yanga inabidi kujipanga kweli kweli.