Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Leta hapa ushahidi otherwise wewe pia unaendelea ku prove umbumbumbu mlionao. Mnaleta habari zavijiweni na mnatumia nguvu kuhalalisha mbumbumbu wenzenu waamini.Labda kwa Kuroga na Kununua Mechi au kwa Kuwahonga Wachezaji na Kamisaa kama tulivyofanya katika Mechi Tatu Nne za Kimataifa huku mkisaidiwa na Waandamizi Wawili kutoka TFF.
Yanga hii sio ile tutawapiga mmesimama
View attachment 2577978