Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu.
Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki.
Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe wavivu siku ya mechi. Ndio maana rivers kati kati ya wiki wamepiga mechi ya kirafiki kupata fitness ya junapili