River united kuonesha wapo serious. Walivyorudi tu kwao wamecheza na enyimba mechi ya kirafiki. Yanga tumepumzika tu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu.

Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki.

Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe wavivu siku ya mechi. Ndio maana rivers kati kati ya wiki wamepiga mechi ya kirafiki kupata fitness ya junapili
 
Mechi za kirafiki tunacheza kabla ya msimu (ndio maana inaitwa pre season)
Halafu siyo lazima tuige wanachofanya wao, na sisi tuna mbinu zetu
 
Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu.

Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki.

Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe wavivu siku ya mechi. Ndio maana rivers kati kati ya wiki wamepiga mechi ya kirafiki kupata fitness ya junapili
Simba alivyokuwa anapigwa mkono mtawalia ni alikuwa hana mechi za kujipima nguvu?, ng'ombe huwa hanenepi siku ya mnada. Yanga watulize akili bado wana nafasi ya kupindua meza.
 
Mimi nauliza tu huo mwiko huko nyumaa umekaaje kipi kimetangulia kati ya mshikio au msongeo
 
Simba alivyokuwa anapigwa mkono mtawalia ni alikuwa hana mechi za kujipima nguvu?, ng'ombe huwa hanenepi siku ya mnada. Yanga watulize akili bado wana nafasi ya kupindua meza.
Yanga watapindua meza ya kahawa
 
Manara atawavusha tu... Si unajua kampeni zinavyobamba? Simba aliwasaidia sana na nyie pumzikeni tu
 
Simba alivyokuwa anapigwa mkono mtawalia ni alikuwa hana mechi za kujipima nguvu?, ng'ombe huwa hanenepi siku ya mnada. Yanga watulize akili bado wana nafasi ya kupindua meza.
Watapindua meza ya kacholi pale jagwani.
 
Back
Top Bottom