Simba alivyokuwa anapigwa mkono mtawalia ni alikuwa hana mechi za kujipima nguvu?, ng'ombe huwa hanenepi siku ya mnada. Yanga watulize akili bado wana nafasi ya kupindua meza.Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu.
Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki.
Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe wavivu siku ya mechi. Ndio maana rivers kati kati ya wiki wamepiga mechi ya kirafiki kupata fitness ya junapili
Yanga watapindua meza ya kahawaSimba alivyokuwa anapigwa mkono mtawalia ni alikuwa hana mechi za kujipima nguvu?, ng'ombe huwa hanenepi siku ya mnada. Yanga watulize akili bado wana nafasi ya kupindua meza.
Tutapindua hata ya biaYanga watapindua meza ya kahawa
Tena mshono ukiwa haujakauka bado mbichi.Sisi Rivers tutapiga pale pale kwenye mshono
Watapindua meza ya kacholi pale jagwani.Simba alivyokuwa anapigwa mkono mtawalia ni alikuwa hana mechi za kujipima nguvu?, ng'ombe huwa hanenepi siku ya mnada. Yanga watulize akili bado wana nafasi ya kupindua meza.