Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Yanga ipunguze Malalamiko inatufedhehesha Watanzania Kimataifa. Tena wamevaa Visit Kilimanjaro
 
Kwa nini Ma Azam hayaoneshi? Huu ni uhuni sasa
Azam wamenyimwa hiyo haki, sio kuonyesha tu hata kuutangaza redioni.
Rivers wamekataa mechi yao kuonyeshwa na Azam na wamekataa kata kata hata kutangazwa kwenye redio.

Yanga wameambatana na msafara mkubwa, wangeweza kuset Camera tu (hata ya simu) then kupitia social media wangeweza kustream live na waTz walau kuona. Wakishindwa kurusha video basi kuutangaza (audio) kupitia social media.
 
Yanga kweli wabishi wamegomea majibu na wachezaji wote wameruhusiwa kucheza, huwezi ukatoa majibu lisaa limoja kabla ya mechi.
 
RIVERS UNITED 0-0 YANGA

➡️ Dakika ya 17 Rivers wanatengeneneza shambulizi zuri Duvu Gideon anapiga krosi Kali lakini inakosa mmaliziaji

➡️ Diarra dakika ya 21 anafanya kazi nzuri akiuwahi mpira uliokuwa unasubiriwa na Malachi Onawume ili afunge
 
Hili gemu limekaa kibubu sana, mpaka muda huu haieleweki mechi imeanza au bado
 
Dakika ya 13 Heritier Makambo alipoteza nafasi nzuri shuti lake Kali akiwa ndani la eneo la hatari kipa Sochima anapangua.
 
Dakika ya 10 Yanga walifika vizuri langoni kwa Rivers United pasi ya Feisal ilikuwa fupi kwa Muloko kipa Sochima Victor akauwahi anadaka vizuri sana
 
Dakika ya 13 Heritier Makambo alipoteza nafasi nzuri shuti lake Kali akiwa ndani la eneo la hatari kipa Sochima anapangua.
Huyu tunamjua ana elements za Iran
 
Back
Top Bottom