Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

RIVERS UNITED 0-0 YANGA

Dakika ya 33 Rivers wanatengeneza shambulizi lingine zuri krosi safi ya Owanume inadakwa kwa umakini na Diara ikiwa inasubiriwa na mshambuliaji Moses Omoduemuke

Timu zote zinashambuliana kwa zamu lakini shida imekuwa katika kutulia kumalizia mashambulizi huku pia safu za ulinzi zikiwa imara kukaba.

Inatokea piga nikupige lango la Yanga lakini Diara anapangua na Mwamnyeto anaokoa dakika ya 37.
 
Hii mechi ili Yanga waimalize wanapaswa kwenda mapumziko kwa kuongoza
 
Nimesikia page ya Kitenge yupo live anaonyesha
 
Rivers United wamegoma isirushwe

Hivi hawa Bodaboda/Mikia/Mbumbumbu hawana kazi ya kufanya badala ya kuhangaikia simba day uko bussy na Yanga utakuta nyie ndio mnajifungia kupost matusi kwa ujira mdogo njaa mbaya sana jitu linabaki kupost matusi tu malezi mabaya
 
Yanga hatuna ukuta bila huyu Goalkeeper Diarra tungekuwa tushafungwa
Hapo unakuta kocha kamuanzisha Dickson Job, Mwamnyeto, Mauya na Mukoko! Huku akimuacha Yannick Bangala nje! Atamchezesha Duma na kumuacha Kaseke nje!

Kazi kweli kweli.
 
Dakika ya mwisho kipindi cha kwanza Yanga walitengeneza shambulizi zuri pasi ya Bangala akaiwahi Feitoto na akamtoka kipa akachezewa faulo mwamuzi akasema hakuna kitu.

Mpira ni mapumziko.
 
Hivi hawa Bodaboda/Mikia/Mbumbumbu hawana kazi ya kufanya badala ya kuhangaikia simba day uko bussy na Yanga utakuta nyie ndio mnajifungia kupost matusi kwa ujira mdogo njaa mbaya sana jitu linabaki kupost matusi tu malezi mabaya
Tumia punctuation marks basi
 
Hii game tulitakiwa kuimaliza nyumbani coz tulitengeneza nafasi nyingi sana bila kuzitumia
 
Back
Top Bottom