Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Mkuu naomba link nicheki hii gameUnaangalizia wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba link nicheki hii gameUnaangalizia wapi
Mimi mwenyewe nimeulizamkuu naomba link nicheki hii gamr
Hii mechi ili Yanga waimalize wanapaswa kwenda mapumziko kwa kuongozaRIVERS UNITED 0-0 YANGA
Dakika ya 33 Rivers wanatengeneza shambulizi lingine zuri krosi safi ya Owanume inadakwa kwa umakini na Diara ikiwa inasubiriwa na mshambuliaji Moses Omoduemuke
Timu zote zinashambuliana kwa zamu lakini shida imekuwa katika kutulia kumalizia mashambulizi huku pia safu za ulinzi zikiwa imara kukaba.
Inatokea piga nikupige lango la Yanga lakini Diara anapangua na Mwamnyeto anaokoa dakika ya 37.
Dadako ndiye tumemla huku!
Rivers United wamegoma isirushwe
Hapo unakuta kocha kamuanzisha Dickson Job, Mwamnyeto, Mauya na Mukoko! Huku akimuacha Yannick Bangala nje! Atamchezesha Duma na kumuacha Kaseke nje!Yanga hatuna ukuta bila huyu Goalkeeper Diarra tungekuwa tushafungwa
Tumia punctuation marks basiHivi hawa Bodaboda/Mikia/Mbumbumbu hawana kazi ya kufanya badala ya kuhangaikia simba day uko bussy na Yanga utakuta nyie ndio mnajifungia kupost matusi kwa ujira mdogo njaa mbaya sana jitu linabaki kupost matusi tu malezi mabaya
Yanga hatuna ukuta bila huyu Goalkeeper Diarra tungekuwa tushafungwa
Vipi na kuhusu sisi mkuu tumepiga piga maana tunapaswa kupata goli kuliko wenzetu.Mpaka sasa Rivers hawajapiga shot on target hata moja.
Tumepiga mbili, kipindi cha pili tukiongeza umakini mbele tutapata goal twende nao penalties hawaVipi na kuhusu sisi mkuu tumepiga piga maana tunapaswa kupata goli kuliko wenzetu.