Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Hapo unakuta kocha kamuanzisha Dickson Job, Mwamnyeto, Mauya na Mukoko! Huku akimuacha Yannick Bangala nje! Atamchezesha Duma na kumuacha Kaseke nje!

Kazi kweli kweli.
Bangala kaanza na Mukoko. Middle inaonekana kutengemaa. Sijui kwanini hakumwanzisha first match ama kumuingiza baada ya kuona kupwaya kwa mid
 
Tumepiga mbili,kipindi cha pili tukiongeza umakini mbele tutapata goal twende nao penalties hawa
Hawa walikuwa wetu kabisa. Kwavile tu Yanga hatujui kuutumia vyema uwanja wetu wa nyumbani. Cha msingi umakini kwenye ukuta uimarike. Kwenye kiungo pia wasikate pumzi na huku washambuliaji wetu wajitahidi kutumia nafasi chache zitakazopatikana. Tukipata goli la mapema watapaniki tu hawa
 
Hawa wa kwetu tuu, hawana namna leo. Lazima tupate goal moja leo, then tusipaki basi.
 
2st Time tunahakikisha mauwaji makubwa kwa wapopo hawa wametuzoea sana
 
RIVERS UNITED 0-0 YANGA

Dakika ya 52 Yanga wanapoteza mpira eneo baya Rivers wanaunasa lakini krosi ya chini ya Paul Acquah inakosa mmaliziaji.
 
Back
Top Bottom