Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mpaka sasa Rivers hawajapiga shot on target hata moja.
Kuna mmoja kati yenu atakuwa amesema uongoInatokea piga nikupige lango la Yanga lakini Diara anapangua na Mwamnyeto anaokoa dakika ya 37.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa Rivers hawajapiga shot on target hata moja.
Kuna mmoja kati yenu atakuwa amesema uongoInatokea piga nikupige lango la Yanga lakini Diara anapangua na Mwamnyeto anaokoa dakika ya 37.
Bangala kaanza na Mukoko. Middle inaonekana kutengemaa. Sijui kwanini hakumwanzisha first match ama kumuingiza baada ya kuona kupwaya kwa midHapo unakuta kocha kamuanzisha Dickson Job, Mwamnyeto, Mauya na Mukoko! Huku akimuacha Yannick Bangala nje! Atamchezesha Duma na kumuacha Kaseke nje!
Kazi kweli kweli.
Hakuna haja ya Yanga kuendelea kumshikilia Ninja wakati anapata majeruhi muda wote na hana msaada kwenye timuKwenye ukweli unakuwaga hupindishi mtani.
Hakuna uongo hapo, krosi haiesabiwi kama shots on targetKuna mmoja kati yenu atakuwa amesema uongo
Hawa walikuwa wetu kabisa. Kwavile tu Yanga hatujui kuutumia vyema uwanja wetu wa nyumbani. Cha msingi umakini kwenye ukuta uimarike. Kwenye kiungo pia wasikate pumzi na huku washambuliaji wetu wajitahidi kutumia nafasi chache zitakazopatikana. Tukipata goli la mapema watapaniki tu hawaTumepiga mbili,kipindi cha pili tukiongeza umakini mbele tutapata goal twende nao penalties hawa
Hawa wa kwetu tuu, hawana namna leo. Lazima tupate goal moja leo, then tusipaki basi.Hawa walikuwa wetu kabisa. Kwavile tu Yanga hatujui kuutumia vyema uwanja wetu wa nyumbani. Cha msingi umakini kwenye ukuta uimarike. Kwenye kiungo pia wasikate pumzi na huku washambuliaji wetu wajitahidi kutumia nafasi chache zitakazopatikana. Tukipata goli la mapema watapaniki tu hawa
Ahaa, kumbe piga nikupige ilikuwa ni krosi?Hakuna uongo hapo,krosi haiesabiwi kama shots on target
Lamine Moro alikuwa mzuri sema siasa za mpira wa bongoKwenye ukweli unakuwaga hupindishi mtani.
Unaangalizia wapi mkuuHawa wa kwetu tuu, hawana namna leo. Lazima tupate goal moja leo, then tusipaki basi.
Mkuu sijaelewa hapo2st Time tunahakikisha mauwaji makubwa kwa wapopo hawa wametuzoea sana
Kipindi cha pili.Mkuu sijaelewa hapo