OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
unadhani goli la kitandani hiloLinarudi hilo soon na tunaongeza.
FT. Rivers 1-2 Young Africans
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unadhani goli la kitandani hiloLinarudi hilo soon na tunaongeza.
FT. Rivers 1-2 Young Africans
Soma ilikuwa dakika ya ngapi na goli limefungwa dakika ya ngapi
mecchi 2 na ipiYanga wanatia huruma imagine umevaa visit klm & znz mechi mbili tu.
Turudishieni na ndege yetuuu [emoji1787][emoji1787]
Ile ya kwanza dar na hii y leoo....mecchi 2 na ipi
Msukule unatamani uzikwe ukiwa hai, maaana tangu wausajili hakuna ushindiFT Rivers 1 - 0 Yanga
rudisheni midomo home
ile dar uliona hiyo Visit?Ile ya kwanza dar na hii y leoo....
ouuuuuuuuuuutmazembe wanawapelekea Moro kweli kweli
Kweli kabisa bora hata kmc au namungo wangeenda [emoji16]Hahaaaa aibu yetu hiii ya kubeba kundi la wahuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mamamamaee sana...FT.
River United 1 - Yanga SC 0
Agg:
River United 2 - Yanga SC 0
Yanga SC wanaaga michuano ya klabu bingwa barani Afrika katika hatua ya awali.