Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

RIVERS UNITED 1-0 YANGA

➡️ Bao hilo limetokana na beki Adeyum kuukosa mpira baada ya kuteleza na Rivers kuunasa mpira na kuingia nao ndani.

➡️ Yanga inazidi kushambuliwa kwa nguvu langoni kwao baada ya kuruhusu bao la kwanza
 
RIVERS UNITED 1-0 YANGA

Dakika ya 88 Yanga wanamtoa Adeyum Salehe anaingia Paul Boxer pia anatoka Feisal Salum anaingia Zawadi Mauya.
 
images (92).jpg
 
Back
Top Bottom