Kutojua mpira wa africa tatizo sana hiyo enyimba inashiriki makundi shirikisho kila mwaka ,wakati yanga wanategemea simba ifanye vizuri wajaribu kucheza mechi mbili za kimataifa na kutoka ,ni sawa na kusema mazembe hakuna kitu wakati mazembe anatolewa robo fainal kila mwaka CLEnyimba ya siku hizi ni sawa na ihefu haina kitu ni vibonde kuliko hata yale magarasha ya plateau united
Utopolo lazma wachapwe hakuna namnaMechi ya kirafiki ya kujiweka sawa tumeichapa Enyimba 2 bila.
Jumapili tunawasubiri watalii tuwafunge 3.
Mpira haupo hivyo ndugu. Wenyewe wanasemaga mpira unadunda.Mechi ya kirafiki ya kujiweka sawa tumeichapa Enyimba 2 bila.
Jumapili tunawasubiri watalii tuwafunge 3.
hapo ndio unaonyesha unyani wako na uneducated kama alivyosema Eymael ungefatilia ungejua ni vigezo gani wanatumia kutoa ranking na sio kuropoka kama yule msemaji wenuHaelewi chochote huyo Mbumbumbu. Rank zina maana zaidi Kwa timu za taifa lakini si Kwa Klabu inayoweza kupoteza hata Wachezaji 10 muhimu ndani ya msimu mmoja na ikashindwa kupata wengine Kama hao.