Rivers waifunga Enyimba, Yanga nendeni mkatalii tu

Rivers waifunga Enyimba, Yanga nendeni mkatalii tu

Enyimba ya siku hizi ni sawa na ihefu haina kitu ni vibonde kuliko hata yale magarasha ya plateau united
Kutojua mpira wa africa tatizo sana hiyo enyimba inashiriki makundi shirikisho kila mwaka ,wakati yanga wanategemea simba ifanye vizuri wajaribu kucheza mechi mbili za kimataifa na kutoka ,ni sawa na kusema mazembe hakuna kitu wakati mazembe anatolewa robo fainal kila mwaka CL
 
Mechi ya kirafiki ya kujiweka sawa tumeichapa Enyimba 2 bila.

Jumapili tunawasubiri watalii tuwafunge 3.
Mpira haupo hivyo ndugu. Wenyewe wanasemaga mpira unadunda.

Miaka ileee mlifungwa na Mufurila 4-0 nyumbani lakini mkapindua meza 5-0 ugenini.

Msimu ulioisha mlizifunga karibia timu zote kubwa barani Africa but katika ligi ya nyumbani kwenye dimba hilo hilo Vyura wakawanyoeni kidude.
 
Haelewi chochote huyo Mbumbumbu. Rank zina maana zaidi Kwa timu za taifa lakini si Kwa Klabu inayoweza kupoteza hata Wachezaji 10 muhimu ndani ya msimu mmoja na ikashindwa kupata wengine Kama hao.
hapo ndio unaonyesha unyani wako na uneducated kama alivyosema Eymael ungefatilia ungejua ni vigezo gani wanatumia kutoa ranking na sio kuropoka kama yule msemaji wenu
 
Back
Top Bottom