HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
- Thread starter
-
- #41
KichecheElvis ukifika school uchangamke lasivyo dodo litaenda.......
Kulubule, Episode ya 5 nmeona jina David. Huyo David vip tena au ndio jina jingine la Elvis?
Godson ni fisi asee simuamini amin ngoja tuone mwsho wake!
Au KipangaKicheche
Good job mkuu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]macson3 Abuu Dharr Mwawese shunie kisukari Da Vinci Songa Heri colieth Tychob nipo2 smart911 Tumosa
Mbali wapi mkuu?Kulubule asante. Nimemuonea huruma. Kitu kimeshatolewa.imenikumbusha mbali aisee
Wee acha tu wacha yapite.mimi yangu ilitolewa na bad boy. Baadae akaishia kuwa jambazi South. Ila nasikia amebadilika na kuwa Mtu mwema ila sina hamu naeMbali wapi mkuu?
Pole sana!!Wee acha tu wacha yapite.mimi yangu ilitolewa na bad boy. Baadae akaishia kuwa jambazi South. Ila nasikia amebadilika na kuwa Mtu mwema ila sina hamu nae
Ila yalishapita asee, hyo ndo maana ya maisha kuwa na a lot of ups and downsWee acha tu wacha yapite.mimi yangu ilitolewa na bad boy. Baadae akaishia kuwa jambazi South. Ila nasikia amebadilika na kuwa Mtu mwema ila sina hamu nae
Pole sana hizi bahati hazitukuti sisi sijui kwaniniWee acha tu wacha yapite.mimi yangu ilitolewa na bad boy. Baadae akaishia kuwa jambazi South. Ila nasikia amebadilika na kuwa Mtu mwema ila sina hamu nae