Riwaya: I died to save my President

Riwaya: I died to save my President

Elvis ukifika school uchangamke lasivyo dodo litaenda.......

Kulubule, Episode ya 5 nmeona jina David. Huyo David vip tena au ndio jina jingine la Elvis?

Godson ni fisi asee simuamini amin ngoja tuone mwsho wake!
Kicheche
 
Kulubule asante. Nimemuonea huruma. Kitu kimeshatolewa.imenikumbusha mbali aisee
 
Ndiwoooo hapo sasa safari ya good girl to a spoiled girl inaanza
 
Wee acha tu wacha yapite.mimi yangu ilitolewa na bad boy. Baadae akaishia kuwa jambazi South. Ila nasikia amebadilika na kuwa Mtu mwema ila sina hamu nae
Pole sana!!
 
Wee acha tu wacha yapite.mimi yangu ilitolewa na bad boy. Baadae akaishia kuwa jambazi South. Ila nasikia amebadilika na kuwa Mtu mwema ila sina hamu nae
Ila yalishapita asee, hyo ndo maana ya maisha kuwa na a lot of ups and downs
 
Back
Top Bottom