Riwaya: I died to save my President

Riwaya: I died to save my President

Nashukuru wote tulio kuwa pamoja nawale walio nitumia vocha pindi nilipo kosa mb nawashukuru pia wale ambao tulikwazana kwa namna yoyote tusameheane hatimae tumemaliza salama kesho jioni tutaanza Riwaya nyingine

Kwahisani ya Tumosa nawaaga byeee
Sawa mkuu
 
Kwaniaba ya wenzangu wote napenda kukushukuru sana Kulubule, umeleta story nzuri sana na yenye mafunzo mengi mazito yanayohusu Upendo, uaminifu, uzalendo, uadilifu na utu.

Pili flow yako ilikuwa nzuri sana. Hukuwa unakawia kuleta, almost kila Siku umeshusha episode, hali hiyo imeleta burudani kubwa.

Mwisho nikutakia Kheri, maisha mema, ubarikiwe kwakutoa muda, akili na Mali zako ili tu ukamilishe mtiririko mzuri wa story hii. Asante kwa mtunzi na mwandishi, asante kwa Tumosa, mchango wangu siyo haba mama.
 
Asante sana
 
Ahsante Sana. Riwaya ilikuwa nzuri....story Safi na yenye mvuto. Hakika umekitendea haki uandishi wako. I do respect you. Naamini kinachofata kitakuwa kikali kupita hii
 
Poti poti poti kulubule moyo wangu kwatuuu Asante sana nangojea mtiti mwingine tukijaaliwa
 
Back
Top Bottom