I DIED TO SAVE MY PRESDENT
Sehemu 8
I’m so stupid..!!! akasema kwa
hasira Elvis na kujipiga kofi
kichwani
“ Why could I be so stupid? I’m
so coward.” Akasema kwa hasira
huku machozi yakimtoka.Ilikuwa
ni muda mfupi baada ya
kuondoka bustanini alikokuwa
amekaa na Patricia ambako
ilimlazimu kuondoka baada ya
kumsikia Patricia akiongea
masuala ya kimapenzi na mvulana
mwingine kupitia mtandao wa
Skype
“ Siku zote nimekuwa karibu na
Patricia nikijaribu kujenga urafiki
wa karibu ili siku moja nimueleze
kwamba ninampenda lakini
kumbe nilikuwa
najidanganya.Yote niliyoyafanya ni
kazi bure.Patricia ana mtu wake
anayempenda Aaaaggghhhhhh….!!!!!!!
Akapiga ukelele kwa hasira
“ Kwa nini siku hizi zote
asiniambie kama ana mtu wake
anayempenda? Lakini siwezi
kumlaumu kwani ni kosa
langu.Ningemwambia mapema
kwamba ninampenda nisingeumia
namna hii.Pamoja na hayo,bado
sijapoteza matumaini.Nitaendelea
kupambana hadi dakika ya
mwisho.Nitapambana kuhakikisha
kwamba Patricia anakuwa
wangu.Yeye ndiye mwanamke
pekee ninayempenda katika
maisha yangu.” Akawaza Elvis
halafu akaenda katika sinki
akafungua maji akanawa uso
kisha akatoka na kueleka tena
bustanini mahala alikokuwa
amekaa na Patricia lakini Patricia
hakuwepo.Akaketi kitini na
kuinua kichwa akatazama juu
angani. I swear in heaven and
earth,Patricia will be mine.She will
love me and no one else will make
us apart.To win Patricia’s heart is
my major goal for now.” Akasema
Elvis kwa sauti ndogo.Akatoa simu
yake akafungua mahala
anakohifadhia picha akaitazama
picha ya Patricia
“ You’ll be mine Patricia.You’ll
be mine.You’ll love only
me”Akasema halafu akainuka na
kuelekea bwenini
********************
Kitendo cha Elvis kutoonekana
darasani kilimchanganya sana
Patricia na kumfanya awe na
mawazo mengi.Haikuwa kawaida
ya Elvis kukosa darasani.Saa nne
na nusu kengele ikagonga
kuashiria kwamba ni wakati wa
mapumziko ya asubuhi.Patricia
akatoka kwa haraka na kumfuataMartin ambaye ndiye anaishi
chumba kimoja na Elvis
“ Martin samahani,kuna jambo
naomba kukuuliza” akasema
Patricia kisha wakasogea pembeni
“ Jambo gani Patricia?
“ Ni kuhusu Elvis.Mbona leo
hajaingia darasani? Ana matatizo?
“ Hajaingia darasani? Martin
akauliza.
“Ndiyo na si kawaida yake
kukosa darasani.Ana matatizo
yoyote?
“ Sina hakika kama ana
matatizo kwa sabau mimi niliwahi
kuamka asubuhi nikamuamsha ili
naye ajiandae lakini akaniambia
kwamba nitangulie yeye atafuata
baadae”
“ Ok ahsante ngoja
nikamuangalie” akasema Patricia
huku akianza kutembea kwa kasi
kuelekea katika bweni la akina
Elvis Patricia huruhusiwi kuingia
katika bweni la
wavulana.Ukionekana kule
unaweza kupewa adhabu kali”
akasema Martin
“ I don’t care .Nataka kujua ni
kwa nini Elvis hajaingia darasani
leo.He’s my friend and I need to
know if he’s having a problem.”
Akasema Patricia na kuchomoka
hadi katika bweni la
wavulana.Anafahamu namba ya
chumba cha akina Elvis
akanyoosha moja kwa moja na
kukinyonga kitasa cha chumba
namba sita akaingia ndani lakini
Elvis hakuwemo
“ Ouh gosh ! Elvis amekwenda
wapi? Mbona humu hayumo?
Akajiuliza Patricia halafu akatoka
mbio mle chumbani
“ Nimekumbuka kitu.Kuna
sehmu moja ambayo huwa
anapenda sana kwenda
kupumzika.Ngoja nikamuangalie kule” akawaza Patricia huku
akikimbia kuelekea katika msitu
wa shule.Pembeni ya msitu ule
kulikuwa na maporomoko madogo
ya maji na hii ndiyo sehemu
ambayo Elvis hupenda sana
kwenda kupumzika.
Kama Patricia alivyokuwa
amehisi ni kweli Elvisa alikuwa
amekaa juu ya jiwe.
“ Elvis…!!!!” akaita Patricia na
kumstua Elvis aliyekuwa
amezama katika mawazo mengi.
“ Patricia !! akasema Elvis kwa
mstuko wa kumuona Patricia
maeneo yale.Kwa haraka akainuka
na kumfuata
“ Patricia what are you doing
here? Akauliza Elvis
“ Elvis nimekutafuta kila
mahala nikakukosa nikajua
lazima utakuwa huku.”
“ Patricia tafadhali usithubutu
siku nyingine kupita humu
msituni peke yako.Kuna hatari nyingi humu.Hakuna usalama
ukiwa mwenyewe”
“ Usijali Elvis,sintafanya hivyo
tena.Nimelazimika kufanya hivyo
kutokana na wasi wasi niliokuwa
nao kwa kutokuona darasani
leo.Si kawaida yako kukosa
darasani.Una matatizo gani? Tell
me Elvis I’m your friend and I do
care about you.Una matatizo gani?
Kwa nini hujaingia darasani leo?
Unaumwa? Akauliza Patricia
“ Hapana siumwi Patricia ila
sikujisikia tu kuingia darasani leo
na ndiyo maana nimekuja huku ili
kutuliza kichwa changu.” Patricia
akamshika Elvis mkono
wakatazamana
“ Elvis niambie una matatizo
gani leo? Nini kinakusumbua?
Tafadhali naomba unieleze”
Elvis akavuta pumzi nefu
akamtazama Patricia na kusema
“ Ni kweli nina matatizo Patricia
Kuna jambo linaniumiza sana kichwa changu lakini nasikitika
kwamba sintaweza
kukwambia.Thank you for your
concern” akasema Elvis
“ Elvis you do trust me right?
Akauliza Patricia
“ Ofcourse I do” akajibu Elvis
“ Kama unaniamini naomba
unieleze ni jambo gani
linalokusumbua? Akasema
Patricia.Elvis akamtazama kisha
akasema
“What about you Patricia ,do
you trust me ?
“ I do trust you Elvis.Kwa nini
umeniuliza hivyo?
“Nina wasi wasi na jibu lako
Patricia.Sina hakika kama
unaniamini na ndiyo maana
umekuwa msiri sana”
“ Siri?! Patricia. Akashangaa
“ Ndiyo”
“ Elvis mbona nimekuwa
nikikueleza kila jambo
linalonihusu? Hakuna jambo ambalo nimewahi kukuficha.Wewe
ndiye mtu pekee unayefahamu
kuhusu undani wa maisha yangu”
akasema Patricia
“ You didn’t tell me that you
have a boyfriend”
“ boy friend? Patricia
akashangaa
“ Ndiyo.Kwa nini kila siku
tulipokuwa tunaongelea kuhusu
mambo haya ya mahusiano
ulisema kwamba huna mpenzi?
Kwa nini ulinidanganya? Akauliza
Elvis.Patricia akashikwa na
kigugumizi akashindwa ajibu
nini.Akakumbuka kwamba wakati
akiongea na Godson jana usiku
Elvis alikuwepo karibu.”
“Mimi nilidhani ni rafiki yako
ambaye unaweza ukanieleza kitu
chochote lakini kumbe si mtu
muhimu kwako hata kidogo.”
Akasema Elvis
“ Elvis,I’m sorry.Jana ulisikia
maongezi yangu na Godson pale bustanini.Samahani kama
nilikukera na samahani kwa
kutokueleza kuhusu jambo hili
kwani niliona halikuwa na
umuhimu wowote wa kukueleza
kwani ni la kibinafsi zaidi.”
Akasema Patricia
“ Patricia halikuwa na umuhimu
kwako lakini kwangu mimi lina
umuhimu mkubwa.Kama rafik
yako nilihitaji kujua kama uko
katika mahusiano au vipi”
akasema Elvis
“ Elvis kuna mambo ambayo ni
ya ndani sana na ambayo si
lazima kuyaweka hadharani kwa
kila mtu.”
“ Ni kweli ni suala binafsi lakini
kulikuwa na ulazima wa kunieleza
ukweli ili nifahamu.Hukupaswa
kunificha”
“ Samahani kwa hilo
Elvis.Naomba basi nitumie nafasi
hii kukueleza ukweli” akasema Patricia halafu akamshika mkono
Elvis na kwenda kuketi juu ya jiwe
“Mtu niliyekuwa nikiongea naye
jana usiku anaitwa Godson.Ni
mdogo wake Juliana.Nilikutana
naye siku Juliana aliponifanyia
sherehe ndogo ya kunipongeza
nyumbani kwao.Toka siku ile
tukatokea kuwa marafiki .Ukaribu
wetu ulizidi pale alipoanza
kunifundisha kompyuta.Siku moja
kabla sijaondoka kuja shuleni
Godson alinipeleka ufukweni na
ndipo aliponieleza kwamba
ananipenda na anataka tuwe
wapenzi.Nilimkatalia kwamba
hatuwezi kuwa wapenzi kwa
sababu bado ninasoma.Alionyesha
kunielewa na akaniomba
tuendelee kuwa
marafiki.Nimekuwa nikiwasiliana
naye karibu kila siku na jana
wakati nikiongea naye
alinikumbusha kuhusu ombi lake
la mimi na ye ye kuwa wapenzi” Akasema Patricia.Elvis akavuta
pumzi ndefu.Maelezo yale
yalionekana kumchoma sana .
“ So you said Yes?
Swalilile likambabaisha kidogo
Patricia akajikaza na kusema
“ Yes.I said yes .Nilimkubalia
tuwe wapenzi.” Akasema Patricia
halafu ukimya mzito ukatanda.
“ I said yes because I cant
handle these feelings anymore”
akasema Patricia.Elvis akageuka
na kumtazama halafu akasema
“ This guy,do you love him?
Patricia akatabasamu na
kusema
“ Yes I do love him so
much.Toka nilipoonana naye
nimetokea kumpenda sana.Huyu
ni mwanaume wa kwanza
kumpenda katika maisha yangu”
akasema Patricia maneno ambayo
yalizidi kumnyong’onyeza Elvis
“Patricia nakushukuru kwa
kunieleza ukweli.Pamoja na hayo kuna mambo nataka
nikuase.Kwanza naomba ufahamu
kwamba mapenzi yapoo na kila
binadamu hupenda na hakuna
anayekuzuia kupenda kwa hiyo
kama huyo Godson ndiye mtu
ambaye una imani moyo wako
umemchagua basi nakupongeza
ila kuwa makini sana kwani siku
hizi walaghai wengi .Wengi
wamekuwa wakitamani badala ya
kupnda.Kitu kingine ninachotaka
kukushauri ni kwamba
umeufungua ukurasa mpya wa
mapenzi katika maisha
yako.Umeingia katika mapenzi na
siku zote mapenzi huwa ni upofu
na hivyo unapaswa kuwa
mwangalifu sana ili yasije
yakakuchanganya na kukupotezea
mwelekeo mzima wa maisha
yako.Mwisho naomba unifikishie
salamu zangu kwa huyo
kijana.Mwambie kwamba umempa
moyowako autunze na asithubutu kukutoa chozi.Siku akifanya
jambo lolote la kukuumiza he’ll
answer to me” akasema Elvis
halafu akamshika Patricia mkono
“ Twende tuondoke” akasema
Elvis.Patricia akamuangalia kwa
mshangao na kumuuliza
“ Elvis bado hujanieleza ni
jambo gani linalokusumbua kiasi
cha kukufanya usiingie darasani
siku ya leo? Naomba nawe uwe
muwazi kwangu kama nilivyokuwa
muwazi kwako” akasema Patricia
“ Patricia umesema mwenyewe
kwamba kuna mambo ambayo si
lazima kuyaweka wazi kwa hiyo
nasikitika kwamba sintaweza
kukwambia ni kitu gani
kinachonisumbua.Ni siri
yangu.Twende tuondoke” akasema
Elvis wakaondoka.
“Bado sijakata tamaa kwamba
siwezi kumpata Patricia.Nilifanya
makosa kutokumweleza ukweli
mapema kwamba ninampendalakini pamoja na hayo bado
nitaendelea kuwa karibu
naye.Patricia atakuwa wangu tu
muda utakapofika” akawaza Elvis
wakiwa njiani wakirejea shuleni
“ Kitu gani kinamshumbua
Elvis? He looks so
strange.Sijawahi kumuona akiwa
katika hali hii toka
nimemfahamu.Lazima kuna kitu
kinamsumbua kichwa
chake.Halafu kuna kitu
nimekigundua inaonekana
hakufurahishwa na kitendo cha
mimi kumwamba kwamba
nimemkubali Godson tuwe
wapenzi.Ninahisi hii inaweza
ikawa sababu ya mabadilio yake
ya ghafla.Kama ni kweli kwa nini
basi akwazike na jambo hili?
Whats going on with him? Is he in
love with me? Patricia akajiuliza
“ Ouh No ! That cant
happen.Elvis ni rafiki yangu
mkubwa na hata siku moja sjawahi hata kuota kwamba mimi
naye tunaweza kuwa wapenzi.Siku
zote nitaendelea kumuheshimu na
kumthamini kama rafiki na mtu
wa karibu sana.Kama ni kweli ana
hisia hizo za kunipenda anatakiwa
azifute kwa sababu tayari
nimeufungua moyo wangu kwa
Godson” akawaza Patricia
********************
Siku zilikwenda kwa kasi na
hatimaye muhula wa kwanza wa
masomo ukamalizika na shule
zikafungwa.Katika mthani wa
kumaliza muhula kama kawaida
yake Patricia alishika nafasi ya
kwanza.Elvis alishika nafasi ya
kumi na tatu.Yalikuwa ni matokeo ya kustusha sana kwa mtu kama
Elvis ambaye katika majaribo ya
kila mwezi hakuwahi kutoka nje
ya nafasi tano za juu
Usiku uliotangulia siku
yakufunga shule Patricia na Elvis
walikuwa bustanini
wakibadilishana mawazo.Pamoja
na maongezi lakini kuna jambo
lililokuwa linamuumiza kichwa
Patricia .Ni kuhusu kuporomoka
ghafla kwa kiwango cha Elvis toka
kushika nafasi tano za juu hadi
nafasi ya kumi na tatu
“ Patricia mbona unanitazama
namna hiyo? Akauliza Elvis baada
ya kugundua kwamba Patricia
amekuwa akimuangalia usoni kwa
muda mrefu
“ Elvis kuna jambo ambalo
nataka kukuuliza”
“ Uliza tu usihofu”
“ Elvis nimestushwa sana na
matokeo yako katika mtihani wa
kumaliza muhula.Sikuwahi kuota kama ungeweza kushika namba
ya kumi na tatu.Nini kimetokea?
Elvis ninakufahamu vizuri na
ninaufahamu uwezo wako na kila
mtu anashangaa ni jambo gani
limetokea hadi uporomoke namna
hii?
Elvis akatabasamu na kusema
“ Patricia nakushukuru sana
kwa ku0nyesha kuguswa na tatizo
hili.Ni kweli nimeporomoka sana
darasani kiasi cha kushangaza
lakini hakuna hata mtu moja
aliyeonekana kuguswa na matokeo
hayo na kutaka kujua kulikoni
zaidi yako.Ni wewe pekee ambaye
umeonyesha kunijali.Wewe ni
rafiki wa kweli na ndiyo namna
marafiki wanapaswa kuwa”
akasema Elvis halafu akameza
mate na kuendelea
“ Patricia siwezi kukuficha
kwamba ni kweli nina matatizo na
ndiyo yaliyonipelekea kushuka
kwa kiwango changu namna hii.” Matatizo gani hayo Elvis?
“ Utanisamehe Patricia lakini
sintaweza kukwambia kwa sababu
ni matatizo binafsi.Nitajitahidi
niendapo likizo niyamalize
matatizo yangu na nitakaporudi
muhula ujao nitakuwa katika
kiwango changu cha kawaida”
akasema Elvis
“ Nafurahi kusikia hvyo
Elvis.Nitakuwa nikiwasiliana nawe
kila siku ili nijue maendeleo yako
na tafadhali kama kuna jambo
lolote ambalo ninaweza kulifaya
linaloweza kukusadia katika
matatizo yako naomba uniambie
na niko tayari kukusaidia”
akasema Patricia
“ Nitafurahi sana kuwasiliana
nawe mara kwa mara Patricia
lakini kuna kitu kimoja ambacho
nataka kukukumbusha.Ni
kwamba unarudi nyumbani na
nina hakika huko utaonana na
mpenzi wako Godson.Tafadhali kuwa muangalifu sana .Dunia ya
sasa imejaa ulaghai mwingi.Sitaki
upatwe na tatizo lolote
Patricia.Sitaki kukuona
ukiumia,sitaki ujutie maamuzi
yako”
“ Ahsante sana Elvis kwa
kunikumbusha wajibu
wangu.Nakuahidi nitakuwa
makini” akasema Patricia
wakaagana na kila moja akaelekea
bwenini kwake kujiandaa na safari
ya kesho
******************
Ni jumamosi tulivu siku ambayo
mwanamitindo Juliana alikuwa
akisherehea siku yake ya
kuzaliwa.Ni wiki ya pili toka
Patricia arejee nyumbani kwa
likizo.Patricia alikuwa ni mwenye
furaha sana kwanza ni kwa
kuonana tena na mama yake
kipenzi pamoja na watu wake wa karibu kama Juliana na
wengineo,pili alikuwa na furaha
kwa kuendelea kushika nafasi ya
juu kabisa katika mitihani yake,
na tatu alikuwa mapenzini na
Godson ambaye wa sasa anafanya
kazi katika mtandao wa simu wa
MasaiTell.
Wageni waalikwa waliendelea
kuwasili nyumbani kwa akina
Juliana ambako sherehe ya
kumbu kumbu ya kuzaliwa kwa
mrembo huyu inafanyika.Patricia
na mama yake walikuwpo hapa
kuanzia asubuhi wakisaidia katika
shughuli mbali mbali za uandaaji
wa sherehe hii
Saa moja za joni sherehe
ikaanza.Juliana akajitokeza
bustanini akiwa amependeza
vilivyo kwa gauni zuri alilolibuni
yeye mwenyewe.Alikuwa
anatembea taratibu katika zuria
jekundu huku akisindikizwa na muziki laini.Watu wote walikuwa
wamesimama wakimshangilia
Godson aliyekuwa amependeza
ndani ya suti nzuri nyeusi,ndiye
aliyempokea jukwaani
wakakumbatiana
“ Happy birthday Juliana”
akasema Godson na kumuongoza
dada yake hadi katika meza
iliyokuwa na keki iliyotengenezwa
kwa ustadi mkubwa.Godson
akawasha mishumaa iliyokuwa
juu ya keki ile halafu Juliana
akaisogelea ,akafumba macho na
kuizima ile mishumaa,makofi
mengi na vgere gere vikasikika
Zoezi lililofuata ni kuwalisha
keki wageni waalikwa na baada ya
hapo kikafuata kipindi cha zawadi
na pongezi.Baada ya zoezi hilo
kukamilika,ukawadia muda wa
chakula na baadae ukafika wakati
wa vinywaji na muziki.Vinwaji vya
kila aina vilikuwepo.Juliana
akafungua muziki na Godson mdogo wake halafu watu wengine
nao wakajumuika kulisakata
rhumba.Patricia alikuwa
amesimama katika moja ya nguzo
akitabasamu na kufurahi namna
watu walivyokuwa wakijimwaga na
muziki.Mara akafunikwa macho
na viganja vya mikono,akaipapasa
halafu akacheka kidogo baada ya
kugundua alikuwa ni Godson
“ Pole sana Patricia “ akasema
Godson akiwa na glasi yake ya
kinywaji mkononi
“ Pole ya nini Godson?
“ Umefanya kazi kubwa sana leo
kuandaa sherehe hii.Sherehe
imefana sana hongera” akasema
Godson na Patricia akatabasamu
“ Its nothing Godson compared
to what Juliana has done to me”
akasema Patricia na kumfanya
Godson atabasamu
“ Unapenda kucheza muziki?
Akauliza GodosnHapana sijui hata huo muziki
wenyewe unachezwaje.Ninafurahi
tu kuwaona watu wakicheza”
“ Mimi mwenyewe sijisikii
kucheza .Twende tutafute mahala
tukae tuongee wakati watu
wakiendelea kuserebuka” akasema
Godson na kumshika Patricia
mkono wakazunguka nyuma ya
nyumba wakaenda kukaa katika
majani mazuri .Mwanga haukuwa
mkali eneo hili walilokaa hivyo
kwa mtu kuwaona mahala
walipokaa itakulazimu usogee
karibu zaidi.Patricia alionekana
kuogopa kuwepo kule peke yao
“Godson,itakuaje tukikutwa
huku peke yetu wakati wengine
wote wako katika sherehe? I’m
scared people might get
suspicious.Sitaki watu wafahamu
kuhusu mahusinao yetu” akasema
Patricia kwa wasi wasi.Godson
akamuwekea kidole mdomoni Shhhhhh!!!!,,Usiogope my
angel.Mimi ndiye mfalme wa
mahala hapa na isitoshe hakuna
mtu yeyote atakayekuja
huku.Patricia nafahamu toka
umerudi mama yako amekuwa
anakuchunga sana. Na hivyo
kufanya makutano yetu kuwa
magumu.Nina mambo mengi ya
kuongea nawe kuhusu
mustakabali mzima wa mapenzi
yetu.I want to show you how much
I love you” akasema Godson
“ Ni kweli Godson .Hata mimi
nina hamu sana ya kupata wasaa
mzuri wa kukaa nawe tukaongea
na kufurahi pamoja.Nitajitahidi
katika wiki hii nipate siku moja
ambayo itakuwa maalum kwa ajili
yetu”
Godson akasogea karibu zaidi
ya Patrcia halafu akauzungusha
mkono wake wa kushoto shingoni
mwa Patrcia na kumfanya astuke
.Wote wawili wakabakiwanatazamana halafu Godson
akasema
“ Patricia kuna zawadi ambayo
nimekuandalia,twende ndani
nikakupatie” akasema Godson
akamshika Paricia mkono na kwa
kupitia mlango wa nyuma
wakaingia ndani.Nyumba ilikuwa
kimya kabisa,watu wote walikuwa
bustanini wakilisakata
rhumba.Godson aamuongoza
Patricia hadi chumbani kwake na
kumkaribisha.Patricia akasita
kuingia
“ Usiogope Patricia.Hakuna mtu
yeyote aliyekuona wala atakayejua
kwamnba uko humu
chumbani.Ingia tafadhali kabla
hajatokea mtu na kukukuta hapa
mlangoni” akasema Godson na
kwa wasi wasi mwingi Patricia
akaingia .Kilikuwa ni chumba
kikubwa na kizuri.Patricia
akatabasamu Chumba chako kizuri
sana.Nimezipenda picha zako za
ukutani” akasema Patricia.Godson
akacheka kidogo halafu
akamkaribisha Patricia
sofani.Akaenda katika kabati lake
kubwa akalifungua na kutoa
kiboksi kidogo chenye rangi
nyekundu ,akamshika mkono
Patricia na kumuoongoza hadi
katika kioo kikubwa.
“ Patricia you are blessed with
natural beauty..Do you know how
beautiful you are? Akauliza
Godson aliyekuwa amesimama
nyuma ya Patricia ambaye uso
wake ulionyesha woga mwingi
.Alihisi msisimko wa aina yake
pale mikono ya Godson ilipoigusa
shingo yake.Alihisi mapigo ya
moyo wake yakibadilika na kuanza
kwenda kwa kasi kubwa
Toka ndani ya boksi Godson
akatoa mkebe mdogo halafu
akaufungua na ndani yake kulikuwa na mkufu wa thamani
kubwa.Akamvisha Patricia
shingoni.Ilikuwa ni mara ya
kwanza kwa Patricia kuvaa
shingoni mkufu wa gharama
kubwa namna ile.Kwa furaha
akageuka na kusema
“ Ahsante sana Godson kwa
mkufu huu mzuri.Nimeupenda
sana” akasema Patricia huku uso
wake ukionyesha furaha
isiyoeleza.Godson akamvuta
karibu yake zaidi halafu akampiga
busu moja zito linalomfanya
Patricia aweweseke.Ilikuwa ni
mara yake ya kwanza kupigwa
busu na mwanaume.Mwili wote
ukamsisimka.Midomo yake
ikabaki inacheza akashindwa
kuongea akabaki anamtazama
Godson.Taratibu Godson
akaushusha mkono wake wa kulia
akivipitisha vidole vyake kati
katiya utiwa mgongo hadi
sehemu za kiunoni.Patricia akastuka na kutoa mguno Alihisi
kama macho yake yanaanza
kuona giza.Alisikia raha ya ajabu
“G..go…gods…on” akaita kwa
taabu Patricia huku akihema kwa
kasi na mara akashikwa sehemu
Fulani ambayo inamfanya asikie
raha isiyoelezeka.Akalegea kabisa
Ilikuwa ni mara yake ya kwanza
kusikia raha ya namna ile.Godson
akamuinua na kumuweka
kitandani
“ God..gods..on…N ..Dont/…..”
akasema Patricia kwa sauti dhaifu
lakini Godson tayari
alikwishapandwa na midadi
akaendeleza autundu katika
mwili wa Patricia ambaye
aliendelea kutoa miguno ya
kusikia raha.Godson alimfanyia
Patricia kila aina ya utundu na
kumpagawisha vilivyo.Baada ya
kuona Patricia hajiwezi
tena,Godson taratibu akaanza
kufungua vifungo vya blausi ya Patricia na akahisi
kuchanganyikiwa baada ya
kukishuhudia kifua cha Patricia
kilichobeba matiti madogo
yaliyosimama.Mwili ulizidi
kuchemka kwa ashki,akainama na
kuyabusu matiti yale ambayo
hayakuwahi kuguswa na
mwanaume yeyote hapo
kabla.Akayabusu na kuanza
kuyachezea.Patricia aliendelea
kutoa miguno kila pale
alipoguswa.Taratibu Godson
akafungua zipu ya sketi aliyokuwa
ameivaa Patricia na
kuivua.Patricia akabakiwa na
nguo ya ndani pekee.Godson
akazidi kuchanganyikiwa
alipoushuhudia mwili ule mwororo
.Akausogeza mkono na kuishika
ile nguo ya ndani na alipotaka
kuivua Patrcia akamshika mkono .
“God..Godson..No….” akasema
Patricia huku akiibana miguu
yale.Godson akamsogelea halafu akatoa ulimi na kuuingiza sikini
mwa Patricia kwa ufundi
sana.Patricia akatoa
ukelele.Godson akaendelea
kuuzungusha ulimi wake ndani ya
sikio la Patricia na taratibu
akamwambia
“ Usiogope mpenzi
wangu.Ninakupenda na
hautaumia”
“ Godson akaedelea
kuuchezesha ulimi sikioni mwa
Patricia na wakati huo huo kwa
kutumia mkono wake wa kulia
akaishika ile ngupo ya ndani ya
Patricia akaivua.Baada ya
kuhakikisha kwamba Patricia
ameandaliwa vya kutosha Godson
akavua nguo zake na kubaki
mtupu.Uume wake ulikuwa
umesimama wima tayari kwa
shughuli.Akachukua chupa ya
mafuta laini na kuupaka ili
asimuumize Patricia .Akapanda
kitandani na kumuweka Patricia katika mkao mzuri na kisha
akamuingiza rasmi katika
ulimwengu wa mapenzi.Patricia
alitoa ukelele na miguno.Alikuwa
ameondolewa bikira yake .
“ Ouh gosh ! I cant believe
this.Patricia..!! Ouh my angel,I love
you…I love you so much” akasema
Godson akiwa juu ya mwili wa
Patricia akinedelea na utundu .
Baada ya kufika
mshindo,Godson akajitupa
pembeni ya Patricia
“ Ouh gosh,Ive never met a
sweet girl like you Patricia”
akasema Godson huku akimbusu
Patricia ambaye machozi yalikuwa
yanamtoka.Godson akamfuta kwa
mikono yake.
“ Nyamaza kulia Patricia.Usilie
mpenzi wangu” Godson
akambembeleza Patricia ambaye
bado aliendelea kulia.Godson
akainuka na kwenda kuchukua
kitambaa akamfuta machozi Usilie Patricia.Usilie mpenzi
wangu” akasema Godson huku
akimbusu Patricia shavuni
“Godson kwa nini umenifanyia
hivi? Akauliza Patrcia huku akilia
“ Shhhhh..!!!!!...Patricia
tafadhali usikasirike.Huu ni
mwanzo mzuri wa mapenzi yetu.”
“ Godson tulikubaliana kwamba
hatutafanya mapenzi hadi
nitakapomaliza masomo
yangu.Kwa nini umevunja ahadi
yako na kunilaghai hadi tukafanya
?
“ Nisamehe Patricia.Nisamehe
mpenzi wangu.Ni kweli
hatukukubaliana hivi na hata
mimi sielewi imetokeaje tukajikuta
tukifanya”
Akasema Godsn na Patricia
akazid kutoa machozi
“ Umenitoa bikira yangu ambayo
ilikuwa ni zawadi kwa manaume
wangu wa kwanza
nitakayempenda ambaye ningemtunzia hadi tutakapofunga
ndoa.Kwa sasa sintakuwa na
thamani tena kwako”
akasemaPatricia na kuendelea
kuangusha machozi
“Tafadhali usiseme hivyo
Patricia.Hujui ni kwa kiasi gani
ninakupenda malaika
wangu.Wewe ndiye kila kitu
kwangu ,nakupeda zaidi ya
ninavyoweza kukueleza.Usiwe na
hofu yoyote kuhusu mimi”
akasema Godson
“ Godson nimekuwa na
mashaka kama kweli unanipenda
kwa dhati au lengo lako lilikuwa
kunitumia kimwili kwa tamaa
zako.Kama unanipenda kwa
namna ambayo umekuwa
ukiniambia kila siku basi
usingenishawishi tukafanya
mapenzi.” Akasema Patricia na
kukaa kitandani na mara
akastuka baada ya kukumbuka
kitu Fulani Gosh..!!! haukutumia hata
kinga.” Akasema Patricia kwa
ukali huku akimpiga Godson
makofi mgongoni.
“ Patricia i’m sorry lakini
hakuna tatizo.Ninajiamini na sina
matatizo yoyote” akasema Godson
.Patricia akainama na kulia
“ I’m so stupid..How could I be
so stupid .Kwa nini nimemuacha
Godson akanifanyia hivi? akalia
kwa uchungu Patrcia.Godson
akamtazama na kusema
“ Patricia inuka ukaoge ujiweke
vizuri.Wanaweza wakaanza
kututafuta akina Juliana”
akasema Godson
Patricia alishikwa na hasira
kiasi cha kushindwa kuongea
tena.Akainuka kitandani
akajitazama na kuitazama damu
kidogo iliyokuwa katika shuka
jeupe lililotundikwa kitandani
.Akazidi kuumia Gosh ! Ameniondolea usichana
wangu.Nimejitunza kwa miaka hii
yote lakini leo hii nimenaswa
kama ndege aliyeloa.I’m so stupid”
akawaza Patricia huku akivaa
nguo zake
“ Bafu lile pale Patricia,hutaki
kuoga? Akauliza Godson.Patricia
akamuangalia kwa jicho kali sana
halafu akaufungua mlango na
kutoka.Moja kwa moja akaelekea
chumbani kwa Juliana
akajitazama katika kioo na kulia
sana
“I’m so stupid” hili ndilo neno
alilobaki akilisema.Akaufungua
mlango wa bafuni na kuingia
kuoga.Bado picha ya tukio zima
lililotokea ikaendelea kumjia
kichwani.
“ Patricia msichana ambaye
ninaheshimika sana kwa uwezo
wangu mkubwa darasani lakini leo
hi nimenasa mtegoni.I’m so
fool.I’m so stupid.How could I let that bastard do that to me? Tena
hakutumia hata kinga.Vipi kama
akiniambukiza magonjwa hatari ya
zinaa? Ouh gosh how could I be so
stupid? Kibaya zaidi ninaweza
hata kupata mimba” Mwili wote
ukamsisimka pale wazo la kupewa
mimba lilipomjia kichwani.
“ Help me God mambo haya
yasinitokee.Juhudi zangu zote za
miaka hii yote za kujitunza,na
kujituma kusoma vyote vitakuwa
kazi bure.Ndoto zangu zote za
maisha zitapotea.” Patricia
akasema taratibu halafu
akamaliza kuoga akavaa nguo
zake.Wakati akiwa katika meza ya
vipodozi mara mlango
ukafunguliwa akaingia
Juliana.Akastuka baada ya
kumkuta Patricia mle chumbani
“ Patricia uko huku?
“ Ndiyo dada Juliana.Nilisikia
joto kali nikaona nije huku
kuoga.Mbona umeloana hivyo? Kuna rafiki zangu wamechelewa
wamefika muda si mrefu ndio
walioniogesha hii shampeni.”
Akasema Juliana huku akilivua
ganuni lake zuri na kuvaa lingine
halafu akaongozana na Patricia
kuelekea bustanini kuendelea na
sherehe.
Sherehe ziliendelea hadi
ilipotimu saa saba za
usiku.Wageni wakaondoka
zao.Baadhi ya wageni ambao
hawakujisikia kuondoka usiku ule
wakapewa nafasi ya kulala katika
vyumba vya wageni kwani jumba
lile lilikuwa kubwa na vyumba
vingi vya kulala.Mama yake
Patricia yeye alipewa chumba
chake maalum cha kulala halafu
Patricia yeye akaenda kulala
chumbani kwa Juliana
“Ouh thank God sherehe
imekwisha.Patricia nashukuru
sana kwa msaada wako mkubwa
katika kuifanikisha sherehe hii ambayo imependeza sana”
akasema Juliana wakati
wakijiandaa kulala
“ Ouh Dada Juliana please don’t
mention.Sijafanya chochote
kulinganisha na wema wako
kwangu.” Akasema Patricia
“ Ninafurahi sana kufahamiana
nanyi.Japokuwa wazazi wangu
wako mbali lakini kuwa karibu na
mama yako ninajiona ni kama vile
niko na wazazi wangu” akasema
Juliana .Patricia hakujibu kitu
akatabasamu.Juliana
akamsogelea akamtazama Patricia
usoni halafu akasema
“ Patricia I’ve noticed you’ve
changed suddenly.Umekuwa
mkimya na hata uso wako
umebadilika kitu ambacho si
kawaida yako.What happened?
Kuna kitu kimakukwaza mdogo
wangu? Are you not happy here?
Akauliza Juliana .Patricia
akashindwa kujizuia kutoa machozi .Juliana akazidi kuwa na
wasi wasi
“ Patricia are you ok? Akauliza
“ I’m ok”
“ Mbona unalia? What
happened? Kitu gani kinakuliza?
“Sina atizo lolote dada
Juliana.I’m just too emotional
today.Kila nikikumbuka mambo
yote ambayo umenifanyia toka
tumefahamiana nashindwa
kujizuia kutokwa na machozi.You
are very kind” akasema
Patricia.Juliana akamkumbatia
halafu akamuomba Patricia alale
apumzike
“ Patricia
ananidanganya.Something is
worng with her.Kitu gani
kinachomsumbua na kumtoa
machozi? Anyway nitatafuta nafasi
niongee naye vizuri ili anieleze kitu
gani kinachomkwaza.Kwa sasa
ngoja apumzike amefanya kazi kubwa sana siku ya leo” akawaza
Patricia
Ulikuwani usku mrefu mno kwa
Patricia.Ilimchukua muda mrefu
upata usingizi kutokana na
mawazo mengi aliyokuwa nayo.
Hatimaye kulipambazuika na
baada ya shughuli za usafi
kumalizika Patricia na mama yake
wakaanza kujiandaa ili warejee
nyumbani kwao.Kabla
hawajaondoka Patricia akamuita
Juliana chumbani kwake halafu
akatoa mkufu wa dhahabu
mfukoni na kumpatia
“Dada Juliana naomba umpatie
Godson mkufu huu.Alinipatia
kama zawadi lakini siwezi
kuuvaa” akasema Patricia.Juliana
akamuangalia na kusema
“ Patricia tell me what
happened? Godson amefanya kitu
chochote cha kukukwaza?Tell me
please” akasema Juliana “ Hapana dada
Juliana.Hajanifanyia jambo lolote
baya isipokuwa alinipatia mkufu
huu ambao una thamni kubwa
tofauti na mimi.Sina thamani ya
mkufu huu wa gharama kubwa”
akasema Patricia na kuzidi
kumshangaza Juliana
“ Patricia wewe ni mdogo
wangu.Please be honest with
me.Did you and Godson had a
fight? Godson aliniambia kwamba
umemkubalia muwe wapenzi sasa
nashangaa nini kimteokea?
Patricia akavuta machozi na
kusema
“ Ni kweli tulikuwa wapenzi but
not anymore.” Akasema Patricia
“ Patricia mbona hutaki
kunieleza nini kimetokea? Godson
amekufanya nini?
Patricia akainama akakosa neno
la kusema .Akainua kichwa na
kusema Dada Juliana thank you for
everything.I have to go” akasema
Patricia ,akageuka akafungua
mlango na kutoka.Juliana alibaki
anashangaa .Akachukua funguo
ya gari na kuwarudisha Patricia
na mama yake nyumbani.Garini
Patricia alikuwa mkimya
sana.Kichwa chake kilikuwa na
mawazo mengi sana
“ I’m so stupid.Ilikuaje
nimruhusu Godson anivue nguo
na kunifanyia vile.? I’m so weak
and stupid.Nilimepnda sana
Godson lakini kwa sasa simtaki
tena kwa kushindwa kuyaheshimu
mapatano yetu ambayo
tulikubaliana kwamba
hatutafanya mapenzi hadi pale
nitakapokuwa nimemaliza
masomo yangu.Lakini
amenishawishi hadi tukafanya
mapenzi.It was my first ime and I
didnt know what to do.Sitaki tena
kusikia suala la mahusiano.Sitaki tena kusikia suala la
mapenzi.From today,I erase
Godson from my heart and evey
fibre of my body” akawaza Patricia
akiwa garini
Kwa siku zote zilizofuata
Patricia hakuwa akitoka
numbani.Alikuwa mkimya sana na
muda mwingi aliutumia
kujisomea.Hakuwasiliana tena na
Godson na hakutaka tena
kuonana naye licha ya Godson
kujitahidi kumtafuta kwa juhudi
zote ili waongee kuweka sawa
mambo
*****************