Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Too bad. Lakini nadhani tu ni upeo wa kufikiri. Mtu akipanua kidogo tu na kuwaza hata rika tatu zijazo ataona jinsi mfumo uliopo hauna ufanisi wala muendelezo.Conclusively utaona kwamba watunga sera wengi au watu wengi wanaonufaika na status quo ni vigumu kuwa initiators wa kitu tofauti..., kwa macho yao everything
Maana kiuhalisia kama tunataka sie wenyewe, wajukuu na vitukuu waje kuwa na hali nzuri ni lazima. Lazima na sio ombi kuweka mazingira ambayo kila mmoja anaweza kuchangia juhudi zake kwa jamii na kufaidika nayo.
Anayeipenda status quo hajajua tu kwamba sio kila wakati watu anaowapenda watabakia upande mzuri wa historia. Na hata wakibakia upande mzuri, je hao walio upandw mbaya hawatafikia hatua waasi iwe machafuko na hata wote wasifaidi utajiri uliopo.
Sasa badala tukae tufanye kila upande uwe kibinadamu na haki inabaki ni mahangaiko. Aliye upande mzuri anapigana abakie huko, aliye upande mbaya naye anapigana aondoke huko sasa si tutafika mwisho tumechoka sana mazee