Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh hii ni km movie, ni zambi tupu...kweli wanasema mwanamke ni zaidi ya shetaniSIN 33
Muandishi…………………………………………….EDDAZARIA G.MSULWA(G.Authour)
Age ……………………………………………………18+
Simu………………………………………………… 0657072588(whatsapp) au 0768516188
ILIPOISHIA
“Nahitaji kuwa mtumishi mkubwa sana duniani. Nataka kuwa na wafuasi ulimwenguni pote, nahitaji kufanya miujiza ambayo hakuna mchungaji mwengine ambaye ata weza kufanya. Nahitaji pesa zimiminike na nizidi kuwa tajiri zaidi ya hapa”
“Waooo si una jua masharti yetu. Jinsi unavyo zidi kwenda juu ndivyo jinsi unavyo paswa kutoa sadaka”
“Ndio mkuu”
“Basi ukihitaji kufika huko unapo hitaji kufika. Inabidi umtoa kafara mwanamke wako wa kwanza kumtoa bikra”
Nabii Sanga akastuka sana huku mapigo yake ya moyo yakianza kumuenda kasi sana kwani mwanamke wake wa kwanza kumtoa usichana ni Magreth, binti anaye mpenda na aliye muahidi kwamba ata mfanyia kitu chochote atakacho kihitaji chini ya jua.
ENDELA
“Mbona una stuka ikiwa yupo ambaye ume mtoa bikra?”
“Aha..hapana mkuu”
“Basi ukihitaji kupanda juu basi ni lazima utoe kafara ya aina hiyo”
“Sawa mkuu nina omba mwezi wa kufikria hili jambo”
“Chukua muda utakao wewe. Ila usichelewe sana kwa maana ukichelewa kazi nitaikamilisha mimi mwenyewe”
“Una maana gani mkuu?”
“Nitamchukua huyo mtu mimi mwenyewe. Muna weza kwenda sasa”
Nabii Sanga na nabii Okocha wakaonyanyuka na kutoka mapangoni humo.
“Yaani ndugu yangu ume pata mtihani mwepesi sana. Mkuu ame kuchunuku”
“Kwa nini?”
“Kumtoa mwanamke wake wa kwaza kumtoa usichana. Aiseee ni jambo la kumshukuru Mungu kwa maana sisi wengine tuna pewa kazi kubwa sana”
“Wewe ulipewa kazi gani ndugu yangu?”
“Mimi nilimtoa kafara mjomba wangu ambaye nina mpenda sana na yeye ndio aliye nilea kwenye maisha yangu na ilinipasa kuhakikisha kwamba nina peleka kichwa chake”
“Mmmm!!”
“Ndio hivyo ndugu yangu”
“Ila kwagu pia ni mtihani”
“Kivipi?”
“Mtu ambaye nina paswa kumtoa kafara ni binti mmoja mazuri sana na bado ni mdogo ambaye ana jitafutia maisha yake na nina mpenda sana”
Nabii Sanga alizungumza huku akiwa amejawa na masikitiko makubwa sana.
***
Walipo ridhika kuhakikisha wana mpatia Tomas mateso ya kutosha wakarudi nchi kavu na kulisimamisha pipa hilo ufukweni. Wakamtoa Tomas anaye tetemeka kwa woga mwingi sana.
“Sio mpelelezi huyu fala”
“Ni kweli”
“Oya sikia wewe. Kesho uta ingia kambini uta anza kupata mafunzo kuhakikisha una kuwa fiti. Ume nielewa”
“Nd…i..iooo”
Tomas alijibu huku wasiwasi mwingi ukiwa ume mtawala.
“Oya mpelekeni kambini”
Mkuu msaidizi wa kikosi hicho cha Ngosha akaagiza vijana waliopo chini yake na wakampakiza Tomas katika gari aina ya pic up na kuaondoka naye ufukweni hapo. Tomas akafikishwa kwenye kambi yao ambayo ipo porini sana na eneo hilo lina baridi kali sana. Wakamvua Tomas nguo zote na kumuingiza kwenye moja ya chumba ambacho hakina kitu chochote zaidi ya sakafu.
“Nita lala humu?”
“Ndio maana yake na hauto lala peke yako?”
“Nita lala na nani?”
“Rafiki zako”
Jamaa huyu alizungumza kimasihara huku akimtazama Tomas usoni mwake. Wezake wawili wakaleta mapipa yaliyo jaa barafu nyingi sana na wakamwaga barafu hiyo ndani ya chumba hicho na kusababisha baridi kuzidi kuongezeka.
“Usiku mwema”
Kijana huyo mwenye mwili mwembaba alizungumza huku akifunga mlango wa chumba hicho kwa nje. Katika maisha yake yote, Tomas hakutarajia kama ata kumbana na maisha magumu kama anayo kumbana nayo hivi sasa. Baridi kali inayo sababishwa na madonge madonge ya barafu yakaufanya mwili mzima wa Tomas kutetema. Haukuwa usiku wenye furaha kwake, hakuweza kupata hata lepe la usingizi. Hadi kuna pambazuka bado kuna mabonge madonge ya barafu bado hayaja yayuka. Mlango ukafunguliwa na akaingia kijana huyo ambaye alimfungia Tomas jana usiku.
“Oya amka”
Kijana huyo alizungumza huku akiwa ameshika suruali ya jeshi, buti nyeusi za jeshi pamoja na tisheti nyeusi.
“Una dakika mbili za kuvaa baada ya hapo, kuna kile kilima pale ina bidi upandishe mara hamsini”
Jamaa huyo alizungumza huku akimuonyesha Tomas kilima hicho kirefu kupitia dirishani.
“U….u…na sema pale?”
“Ndio, mbona una kigugumizi vaa jamaa. Mimi huwa sina huruma na mtu na nikipewa jukumu kama hili huwa nina furahi sana”
Jamaa huyu alizungumza kwa kejeli huku akiendelea kumtazama Tomas usoni mwake. Tomas alipo maliza kuvaa nguo hizo wakatoka nje ya chumba hicho. Endo hilo la kambi lina ulinzi mkali na kila mtu ana onekana yupo bize na mambo yake.
“Hapa ni kambi ya jeshi?”
Tomas alimuuliza jamaa huyo aliye valia nguo nyeusi pamoja na kiti kubwa jeusi ili kujikinga na baridi.
“Acha us** wewe kuna kambi ya jeshi ya aina hii. Haya twende”
Jamaa huyo alizungumza huku akimzaba Tomas bao la mgongo. Wakaanza kukimbia kwa pmaoja kupandisha kilipa hicho kirefu. Tomas akajihisi moyo wake ukichomoza kwani hajawahi kufanya mazoezi magumu kama hayo. Wakafika kileleni katika kilima hicho huku Tomas akihema mithili ya mbwa wa polisi aliye mkumbiza mwizi kwa kipindi kirefu.
“Shuka mimi nina kusubiria hapa”
Kijana huyo alizungumza huku akichukua kiti na kukaa.
“Nishuke!!!?”
“Oya sirudii kauli zangu shuka”
Tomas akaanza kujishauri huku akiwa ameinama.
“Nitakusukuma ukafie kule chini”
“Aha...naomba nizungumze na Ngosha”
“Huwezi kuzungumza naye. Shuka kwenye hicho kiporomoko na upandishe tena”
Kijana huyo alizungumza huku akichomoa bastola yake kiunoni na kumuelekezea Tomas ya usoni mwake na kumfanya ajawe na woga mwingi sana na kuanza kushuka kwenye kiporomoko hicho pasipo kupenda.
***
Hali ya Evans ikazidi kuimarikia kadri siku zinavyo zidi kwenda huku penzi lake na Magreth likizidi kupamba moto. Magreth taratibu akajikuta akianza kumsahau nabii Sanga ambaye yeye ndio aliye mfanya awe na maisha ya kufanikiwa. Evans akaruhusiwa kutoka hospitalini hapo na moja kwa moja wakaelekea nyumbani kwa Magreth.
“Weee una taka kuniambia kwamba una ishi hapa?”
“Ndio ni kwangu mbona huamini”
“Mbona pazuri sana na hujawahi kuniambia kwamba una maisha mazuri kama haya”
“Hahaa hapana bwana mume wangu. Nilihitaji kukufanyia suprize”
“Mmmm kweli hii suprize na hiyo gari Audi Q7 ni ya nani?”
“Gari langu hilo”
“Aisee siamini Magreth kwa umri wako una maisha mazuri kama hayo. Hembu nipe risi ya mafanikio yako”
“Usijali mume wangu ipo siku nita kuambia”
“Haya hizi kamera zina fanya kazi?”
“Ndio zina fanya kazi, ila huwa nina zizima nikiwa ndani, nikiwa nina toka nina ziwasha”
“Ahaa sawa”
“Karibu chumbani”
Magreth alizungumza huku akiwa amemshika Evans mkono. Wakaingia ndani ya chumba cha kulala cha Magreth. Taratibu Magreth akaanza kumvua Evans nguo zake huku akiwa amejawa na hamu kubwa sana ya kupata penzi la Evans.
“Evans”
“Mmmm”
“Si uta weza kunipa baby?”
“Ndio japo sinto kwenda mpute mpute kama siku ile isije kidonda kika lete shida si una jua hakijapona kabisa”
“Sawa mpenzi wangu”
Magreth taratibu akachuchumaa na kuanza kumshika shika jogoo wa Evans ambaye tayari amesha simama kidete na akaanza kumnyonya taratibu huku akiwa na uchu mkubwa sana. Magreth alipo jiridhisha wakavua nguo zake huku Evans akijilaza kitandani. Wakaanza mtanange huo taratibu huku kila mmoja akifurahia penzi hilo. Mtanange huo ukachukua dakika ishiri na tano na kufika tamati.
“Nina kupenda sana Evans”
“Nami pia nina kupenda sana mpenzi wangu”
“Je una weze kuendesha gari?”
“Ndio nina weza mpenzi wangu”
“Basi uta nifundisha”
“Kwani wewe huwezi?”
“Hapana mimi siwezi”
“Apia?”
“Haki ya Mungu vile. Yaani toka hilo gari liletwe na dereva wa kampuni niliyo nunua. Sijalisogeza hata nyuma”
“Hahaa usijali nita hakikisha kwamba una fahamu mapema sana”
“Nashuru”
Siku hiyo ikawa ni ya furaha sana kwao kwani ndio siku ambayo wame anza kulala kwa pamoja. Siku iliyo fwata wakaelekea madu ya nguo na Magreth aka mnunulia Evans nguo na viatu vya kutosha. Evans hakutarajia yale maisha ya shida na tabu ambayo alikuwa ana hangaika nayo toka alipo maliza chuo, yamebadilia kwa kiasi kikubwa na sasa amesha sahau shida hizo. Wakatangaza usahili wa wahudumu wa mgahawa wao mpya ambao wana hitaji kuufungua.
Siku ya usahili, wakajitokeza wasichana wengi wenye kila aina ya sifa ya uzuri hadi Magreth akaanza kujihisi wivu kwani uzuri wa wasichana hao una weza kumteka mume wake. Wakafanikiwa kupata wasichana watatu na wavulana wawili ambao wana shuhulika katika mgahawa huo. Wakafanya maandalizi yote ya ufunguzi wa mgahawa na siku ya ufunguzi ika fika. Siku hiyo wakatangaza wateja mia moja wa kwanza wata kula chakula bure kabisa. Wakajitokeza watu wengi sana hadi Magreth akashangaa wingi wa watu hao.
“Watu hawa wote kweli wata kuja hivi hivi siku zinazo kuja au ni leo kisa ni bure?”
Magreth alimuuliza Evans huku wakiwa wamesimama eneo la mapokezi wakitazama watu hao wanao wanao zidi kupata chakula kitamu ambacho amekiandaa yeye pamoja na wapishi wawili wanao msaidia kupika”
“Wata kuja, una jua hii ni njia nzuri sana ya kujitangaza kibiashara. Laiti tungesema tunze kwa kuwatoza pesa wasinge kuja wengi kama hivi”
“Mungu abariki mume wangu”
Magreth alizungumza huku akiwa amejawa na furaha sana. Simu yake ikaanza kuita, akaitazama kwa sekunde kadhaa na kuona ni namba ngeni. Akaipokea na kuiweka sikioni mwake.
“Habari yako mke wangu”
Sauti ya nabii Sanga ikamstua sana Magreth kwani toka nabii Sanga aondoke nchini Tanzania hajawahi kuwasiliana naye jambo ambalo lilimfanya azidi kuuhamishia moyo wake kwa Evans na kumtoa kabisa mzee huyo katika hisia zake. Magreth akaondoka eneo hilo na kujitenga kidogo.
“Salama mpenzi”
Magreth alizungumza kwa wasiwasi kidogo huku akimtazama Evans anaye endelea kushuhulika na wateja.
“Mmmmm nimeona jitihada zako. Hakika nime furahi sana kutazama taarifa ya ufunguzi wa mgahawa wako youtube.”
“Nashukuru sana mpenzi wangu. Mbona siku zote huja nitafuta kwema?”
“Kwema, nilikuwa nipo bize sana vikao vingi sana.”
“Pole sana mpenzi”
“Salama, nisalimie Evans naona ametoka hospitalini”
Magreth akastuka kidogo ila akajikaza.
“Ni kweli ametoka MUNGU ame msaidia”
“Sawa sawa nimebakisha wiki moja nitarudi nchini Tanzania. Nina hamu sana na wewe mke wangu”
“Wiki moja!!?”
“Ndio mbona una shangaa?”
“Ahaa…aha….siku tarajia kama ume bakisha siku chache hivyo”
“Usijali niambie nikuletee zawadi gani?”
“Mmmm yoyote upendayo”
“Basi usijali. Nakata simu ila usipige hii namba hadi nikupigie”
Simu ikakatwa na kumfanya Magreth kubaki katika alama kubwa ya kujiuliza, akamtazama Evans ambaye hadi leo hajawahik umuambia kwamba ana mahusiano na nabii Sanga na haju ataanzia wapi kumueleza mwanaume huyo anaye mpenda kuliko kitu chochote.
***
Nabii Sanga akakata simu mara baada ya kumuona shemeji yake mrs Okocha akija katika bustani hiyo aliyo kaa.
“Shemeji”
“Naam”
“Umekaa peke yako hujihisi unyonge?”
“Usijali nipo hapa nina peruzi peruzi. Vipi Okocha ata rudi saa ngapi?”
“Nimetoka kuzungumza naye ana amesema ana ingia kwenye kikoa. Vipi mke wako naye ana rudi saa ngapi kwa rafiki yake?”
“Mmmm ata chelewa kurudi”
Mrs Okocha akamazama nabii Sanga kwa macho ya matamanio. Katika wiki zote walizo ishi hapo, amekuwa akimuwinda sana nabii Sanga ila amekuwa akikosa nafasi ya kukamilisha haja yake ya kupata penzi.
“Shem kuna kitabu nahitaji ukanisaidie kutafuta kule kwenye reading room. Sijui una weza kunisaidia?”
“Usijali twende”
Wakaondoka eneo hilo na kuingia katika chumba kikubwa cha kusomea. Mrs Okocha akafunga mlango huo kwa ndani na bila ya kujiuliza maswali mara mbili mbili akavua dera alilo livaaa.
“Shemeji una fanya nini?”
“Shem naomba uni samehe. Nimeshindwa kuzizuia hisia zangu, nakuomba unipe penzi lako”
“Shemeji ila wewe ni mke wa rafiki yangu siwezi kufanya hivyo unavyo hitaji”
Nabii Sanga alizungumza huku akianza kurudi nyuma nyuma kwani katika vitu anavyo viogopa kwenye maisha yake ni kutembea na mke wa mtu tena mke wa rafiki yake.
“Tafadhali Sanga naomba unipe kile kitu ninacho kihitaji. Tazama jinsi nilivyo mrembo, tazama makalio yangu yalivyo makubwa. Huyatamani kweli?”
Mrs Okocha alimshawishi nabii Sanga ambaye bado yupo kwenye kigugumizi kizito sana.
“Una niigiza majaribuni shemeji, tafadhali nina kuomba”
“Nakupenda sana Sanga. Naomba unipe penzi lako”
Mrs Okocha akamgandamiza ukutani nabii Sanga na kuanza kumnyonya shingo yake.
“Tafadhali niachie. Siwezi kumsaliti rafiki yangu kipenzi”
Nabii Sanga alizungumza kwa hasira huku akijitoa mikoni mwa mrs Okocha na kuanza kutembea kwa hatua za haraka kuelekea mlangoni mwa chumba hicho.
“Huyo rafiki yako unaye muamini, tayari amesha mt** mke wako tena mbele ya macho yangu”
Kauli hiyo ya mrs Okocha ikamfanya nabii Sanga kusimama huku akistuka sana, taratibu akamgeukia mwanamke huyo na kumtazama, sura ya mrs Okocha ina onyesha dhairi hilo alilo lizungumza ni jamboa la kweli kabisa na halina uwongo wa aina yoyote.
ITAENDELEA
Haya sasa, mrs Okocha ameamua kutoa siri ambayo waliahidiana kwamba hawato itoa kabisa. Ni nini nabii Sanga atakifanya mara baada ya kufahamu ukweli huo? Endelea kufwatilia kisa hichi cha kusisimua, usikose sehemu ya 34.