Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaaaaalipotabasamu bado tabasamu lake lilimfanya aonekane kama mtu aliyetaka
kupiga chafya.
Haaaaaaaa
[emoji134] [emoji134] [emoji134] mbona tutakufwaitapendeza kama ukituacha na arosto hii had ijumaa ijayo
hatuwezi kufa ila cha moto tutakiona dawa yake hapa ni kutafuta riwaya nyingine humu tuanze kusoma[emoji134] [emoji134] [emoji134] mbona tutakufwa
Zpo nyingi leo zmeanzisha hko me nmezkwepa naogopa kuongeza idadi ya arostohatuwezi kufa ila cha moto tutakiona dawa yake hapa ni kutafuta riwaya nyingine humu tuanze kusoma
me ndo nmeianza ile ya mifupa nasoma kwa tahadhari nisiwe teja wa haya mastoryZpo nyingi leo zmeanzisha hko me nmezkwepa naogopa kuongeza idadi ya arosto
Tafadhali tusaidie majina yake tukajilipue huko.Zpo nyingi leo zmeanzisha hko me nmezkwepa naogopa kuongeza idadi ya arosto
Nenda entertainment utazikuta cjakariri titles zakeTafadhali tusaidie majina yake tukajilipue huko.
Na Mimi nilivyosoma hapo nilichekaHaka kakipande kamenifurahisha sana..
.....alipotabasamu bado tabasamu lake lilimfanya aonekane kama mtu aliyetaka
kupiga chafya.
Na Mimi nilivyosoma hapo nilicheka