Hiki ni kitabu kabisa. Nishakitoa! Nakala zipo! Unaletewa ulipo!Humo kuna ma elf wanasoma lakini wengi ni kimya kimya...
Kusifia sana ... inakatwa kati kati...
Endelea kupost basi.Hiki ni kitabu kabisa. Nishakitoa! Nakala zipo! Unaletewa ulipo!
Hujambo?Dah bahat mbaya hii story niliielewa sana nasikitika sasa uvumilivu umeniisha rasmi leo naipotezea,mletaji achaga kupima makali ya sime kwa &%#/#(+&
Kaka mkubwa.Kongole sana
Nakitafuta muda si mrefu,nitamtembelea Saidi nichukue nakala.Kaka mkubwa.
Kipo Arusha kwa Said!
Pamoja sana, kaka!Nakitafuta muda si mrefu,nitamtembelea Saidi nichukue nakala.
Hii kitu ndo naona leo alafu kumbe imeishia kati
Haijafika mwisho...Hii kitu ndo naona leo alafu kumbe imeishia kati
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Usitukane hutaenda peponi...
Kwa said ni miyaa gani arusha mkuuKaka mkubwa.
Kipo Arusha kwa Said!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Usitukane hutaenda peponi...