Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #241
Mlio wa Risasi kuna ujumbe mmoja mkali sananiliupenda. Pale Robert alipovunja rekodi ya dunia aliposhuhudia kuwaona watu waliohudhuria mazishi yake mwenyewe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utafokewa bure. Tuiache tu iishe tusiongee chochote.
Niambie baby[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
uko poaNiambie baby
Niko poa mamauko poa
Nimeshaimaliza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu najua unakaribia kumaliza
Mkuu wengine tunafuatilia kimya kimya mpaka tunajitokeza hivi ujue arosto zinatupanda.Mkuu naachia
Mkuu wengine tunafuatilia kimya kimya mpaka tunajitokeza hivi ujue arosto zinatupanda.