Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #221
Nimeshasoma zaidi ya vitabu mia tatu. Hivyo havitoshi?
Vinatosha kabisa.
Ushauri wako nimeuchukua.
Ila nimejaribu kukueleza kuwa Fasihi ni Pana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshasoma zaidi ya vitabu mia tatu. Hivyo havitoshi?
Na kama utunzi wako ndio wa aina hii na kila unapokosolewa unakuwa mkali au kuejdelea kug'ang'ania aina ya huo uandishi wako. Hutofika mbali.
Mnapenda kusifiwa tu. Mwandishi aina hii hafai kabisa. Tumiq kasoro unazokosolewa kurekebisha. Siyo kuwa mkali.
Mkuu Malyenge kwa heshima ya jina lako,Malyenge= macho kengeza,ni Bora ungejikata tu kuliko kubishana na hadhira yote hii!Nimeshasoma zaidi ya vitabu mia tatu. Hivyo havitoshi?
Yaelekea shetani kakutumaNa kama utunzi wako ndio wa aina hii na kila unapokosolewa unakuwa mkali au kuejdelea kug'ang'ania aina ya huo uandishi wako. Hutofika mbali.
Mkeo akikukosoa mbele ya watoto au hadharani anakuwa kakuvunjia heshima,.Mdogo wangu sisi wengine si watunzi ila ni wasomaji wazuri wa riwaya ni kweli anachosema/anachoshauli huyo msomaji matukio yanafulilizana mno kiasi inafikia kupunguza radha
Hao wengine wanachotaka wewe utoe hii hadithi na wao waisome hawana habari ya ubora
Mimi kwa ushauri tu fuata ushauri unaopewa punguza kuunganisha matukio mengi kwa wakati mmoja ili kuleta uhalisia na radha
Mwisho nikupongeze wewe ni mtunzi mzuri jaribu kuzingatia ushauri utafika mbali katika tasnia hii
Naisubiria ikiisha nifaidi utamu!Mambo yanazidi Unga hapa
AmeenTuombe uzima Mkuu
Muache mtunzi amalizie nduguMwandishi bado hujajirekebisha tu. Hili tukio la treni na watu wenye bunduki halikufaa kuwa hapa. Linaharibu mtiririko wa riwaya. Hapa huyu mtu atajiokoaje sasa kama matukio yamepandiliana namna hii. Hayampi nafasi.
Unaharibu riwaya kwa kuandika matukio impossible.
Utafokewa bure. Tuiache tu iishe tusiongee chochote.Hii hadithi bora iishe maana kuna wakati inaelekea pazuri, mara inaanza tena upya...
We makengeza umeandika story gani? Kama hunaulichoandika na hujaitwa kuja kusoma kinachokunyegesha ni nini?Utafokewa bure. Tuiache tu iishe tusiongee chochote.
Hiki nitahitaji kopi 40 na hiyo nyingine ya Wakala Wa Siri ninayoikosoa niyahitaji kopi 40 ikimapizika.OFA HII INAISHA LEO
WAHI!
TSh 10,000/=
Ni kitabu cha "MLIO WA RISASI HARUSINI"
TUMA KWA
0693322200
Airtelmoney
Robert HerielView attachment 1973845
Hiki nitahitaji kopi 40 na hiyo nyingine ya Wakala Wa Siri ninayoikosoa niyahitaji kopi 40 ikimapizika.
Ninapeleka kijijini watu wasome hasa walioko shule za kata.
Bado nitaendelea kukosoa tu. Mkikasirika shauri zenu!!!!
Malizia hicho kitabu ili kikimalika nivinunue vyote maana vina uhusiano kati ya Risasi Harusini na Wakala wa Siri. Mtu akivisoma vyote kwa kuanza na Mlio wa Risasi ndio ataelewa.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu Acha hasira bhana.
Hakuna anayekasirika Ila ni mjadala tuu.
sawa Kaka mkubwaMalizia hicho kitabu ili kikimalika nivinunue vyote maana vina uhusiano kati ya Risasi Harusini na Wakala wa Siri. Mtu akivisoma vyote kwa kuanza na Mlio wa Risasi ndio ataelewa.
Mlio wa Risasi kuna ujumbe mmoja mkali sananiliupenda. Pale Robert alipovunja rekodi ya dunia aliposhuhudia kuwaona watu waliohudhuria mazishi yake mwenyewe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa Kaka mkubwa