78Kuku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 562
- 756
Hadithi zenyewe hazina uhalisia, acha wawauzie wajinga wenzaoWaandishi wengi wa stori zinazotumwa humu ni makanjanja sana,hamkuombwa kuleta hadithi zenu hapa mwisho wa siku mnakuwa wababaishaji,hata kama hatuchangii gharama ila hatutakiwi kuwabembeleza saaaaaaana hivi mnajikuta akina nani vile eti?
Kwanza hadithi zenyewe za uwongo mtupu!!!!
Mnakera bhana.
Muwe mnasema kuna hadithi inakuja ila ni demo tu,haitoisha ili msomaji aamue kuangalia hiyo trela au laaaah,wengi tungechagua laaaah,acheni zenu bhana