Riyadh Mahrez mchezaji Bora wa Afrika 2016

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Riyadhi Mahrez wa Leicester City amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa Afrika 2016 inayoendeshwa na Kituo cha radio BBC,Amewashinda Sadio Mane,Piere Aubamayang ,Yaya Toure na Ayew.

Binafsi anastahili sijui kwako mdau wa soka.
 
Kwa Mahrez haki imetendeka ila huko kwingine ni upuuzi mtupu
 
Kwa Mahrez haki imetendeka ila huko kwingine ni upuuzi mtupu
C Ronaldo kabebwa na matokeo ya timu anazochezea Ureno Bingwa kombe la Mataifa Ulaya.
R Madrid bingwa Vilabu Ulaya ila yeye kama yeye hakua na msimu mzuri sana.

Ukiangalia Messi Barca&Argentina hawakua na Matokeo mazuri pia.

Griezman alistahili kupewa ingempa motisha zaid kufanya vizuri na pia France Fainali kombe la mataifa Ulaya.
A Madrid Fainali kombe la Vilabu Ulaya.

Ila wapiga kura Ndo wameamua

Au yule mkali wa kuchakachua kwani kule yuko???
 
mkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyoo
 
mkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyoo
Kwa maoni Yangu japo Cr7 kasaidia kote ila Griezman alikua na msimu mzuri zaid kuliko wote wawili Messi&Cr7.
Sema wapiga kura wameamua ila imekua kama Tuzo ya watu wawili tuu.
Nafikiri hawa jamaa umaarufu ndo unawapa tuzo na sio Ubora uwanjani tena.

Ref France vs Portugal Cr7 anapata injury Eder ndo anaamua matokeo.
 
Ni kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na Ronaldo

Ikafata ila ya Ribbery nayo yakawa yaleyale wakat alikuwa na msimu mzuri sana na Fifa walipohojiwa walisema hatuangalii timu ila tunaangalia perfomance ya mtu mwenyewe cha ajabu leo ananyimwa mtu sahihi na anapewa mtuwingine na wanatumia kigezo cha timu ambacho kipindi cha Neur na Ribbery walikataa hiyo hoja

Swali ninalojiuliza hivi EURO na UEFA Penado kachukua au kachukuliwa??

Eider na Ramos
 
Ok siyo mbaya maana alichukua EPL msimu iliopita...pamoja....ila Aubameyang ni kitu ingine kabisaaaaaa
 
Sijui wametumia vigezo gani au kuna kununua wapiga kura nini?

Griezman alistahili hizi tuzo ukiangalia timu kama a madrid hakuna world players lakin Griezman bado alishine.
 
Reactions: PNC
mkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyoo
Hivi EURO uliangalia kwenye beseni??
Hivi kati ya Eider na Mmoroco nani aliibeba Portugal

Au kati ya Ramos Na Penado nani aliibeba Madrid?
 
Sijui wametumia vigezo gani au kuna kununua wapiga kura nini?

Griezman alistahili hizi tuzo ukiangalia timu kama a madrid hakuna world players lakin Griezman bado alishine.
Tena Greezman pamoja na kucheza dakika chache EURO bado alifanya makubwa
 
Hivi EURO uliangalia kwenye beseni??
Hivi kati ya Eider na Mmoroco nani aliibeba Portugal

Au kati ya Ramos Na Penado nani aliibeba Madrid?
Suarez alisema baada ya kushinda mchezaji bora Spain akaulizwa kama anaweza kushinda tuzo hizi akasema kamwe haiwezi kutokea kwani Zimekaa kibiashara zaidi..
 
Suarez alisema baada ya kushinda mchezaji bora Spain akaulizwa kama anaweza kushinda tuzo hizi akasema kamwe haiwezi kutokea kwani Zimekaa kibiashara zaidi..
maneno ya Suarez
 
polee
 
maoni ya wadau mbalimbali baada ya Cr7 kushinda Tuzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…