Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C Ronaldo kabebwa na matokeo ya timu anazochezea Ureno Bingwa kombe la Mataifa Ulaya.Kwa Mahrez haki imetendeka ila huko kwingine ni upuuzi mtupu
mkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyooC Ronaldo kabebwa na matokeo ya timu anazochezea Ureno Bingwa kombe la Mataifa Ulaya.
R Madrid bingwa Vilabu Ulaya ila yeye kama yeye hakua na msimu mzuri sana.
Ukiangalia Messi Barca&Argentina hawakua na Matokeo mazuri pia.
Griezman alistahili kupewa ingempa motisha zaid kufanya vizuri na pia France Fainali kombe la mataifa Ulaya.
A Madrid Fainali kombe la Vilabu Ulaya.
Ila wapiga kura Ndo wameamua
Au yule mkali wa kuchakachua kwani kule yuko???
Kwa maoni Yangu japo Cr7 kasaidia kote ila Griezman alikua na msimu mzuri zaid kuliko wote wawili Messi&Cr7.mkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyoo
Ni kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na RonaldoC Ronaldo kabebwa na matokeo ya timu anazochezea Ureno Bingwa kombe la Mataifa Ulaya.
R Madrid bingwa Vilabu Ulaya ila yeye kama yeye hakua na msimu mzuri sana.
Ukiangalia Messi Barca&Argentina hawakua na Matokeo mazuri pia.
Griezman alistahili kupewa ingempa motisha zaid kufanya vizuri na pia France Fainali kombe la mataifa Ulaya.
A Madrid Fainali kombe la Vilabu Ulaya.
Ila wapiga kura Ndo wameamua
Au yule mkali wa kuchakachua kwani kule yuko???
Sijui wametumia vigezo gani au kuna kununua wapiga kura nini?Ni kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na Ronaldo
Ikafata ila ya Ribbery nayo yakawa yaleyale wakat alikuwa na msimu mzuri sana na Fifa walipohojiwa walisema hatuangalii timu ila tunaangalia perfomance ya mtu mwenyewe cha ajabu leo ananyimwa mtu sahihi na anapewa mtuwingine na wanatumia kigezo cha timu ambacho kipindi cha Neur na Ribbery walikataa hiyo hoja
Swali ninalojiuliza hivi EURO na UEFA Penado kachukua au kachukuliwa??
Eider na Ramos
Hivi EURO uliangalia kwenye beseni??mkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyoo
Tena Greezman pamoja na kucheza dakika chache EURO bado alifanya makubwaSijui wametumia vigezo gani au kuna kununua wapiga kura nini?
Griezman alistahili hizi tuzo ukiangalia timu kama a madrid hakuna world players lakin Griezman bado alishine.
Suarez alisema baada ya kushinda mchezaji bora Spain akaulizwa kama anaweza kushinda tuzo hizi akasema kamwe haiwezi kutokea kwani Zimekaa kibiashara zaidi..Hivi EURO uliangalia kwenye beseni??
Hivi kati ya Eider na Mmoroco nani aliibeba Portugal
Au kati ya Ramos Na Penado nani aliibeba Madrid?
poleeNi kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na Ronaldo