Riziki mafungu saba: Kijana muuza kashata aliyegeuka mfanyabiashara mwenye mafanikio

Achana Na huyo, kuna mwingine alikuwa anauza madafu tu mtaani, siku moja akaokotwa huko barabarani akaambiwa ikulu nalo ni soko zuri la kuuzia madafu. Baada ya siku chache muuza madafu akageuka Na kuwa komando mkubwa sana wa jeshi, kiasi cha kushuka Na kamba kutoka angani.

Duniani kila kitu kinawezekana
 
Kuna kijana alihamia kitaa akiwa anatokea kijijini akiwa hana lolote, huyu kijana sasahivi ni billionaires.

Usimdharau muuza genge wala msukuma toroli kuna siku anaweza kuwa mtu mwenye thamani na akampa ajira mwenye Degree au PHD.
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…