Riziki mafungu saba: Kijana muuza kashata aliyegeuka mfanyabiashara mwenye mafanikio

Imeandikwa Usimkatie Tamaa mwanaume anae pumua chochote utokea wakat wowote


Mkuu hawa wanasikiaga basi, yaani wao hua wanaangalia kwa wakati huo unamtongoza unaonekanaje au dinner unaeza mlipia (hata kama umekopa ili kutimiza haja zako)


Ndio maana wale waazima magari, suti na moka wanawanyandua kimasikhara sana then wakijua wanaanza kulia lia.
 
Basi nilimuuliza unaelekea wapi huku wakati ulikuwa unaishi karume? Akanambia alihama Toka mwaka Jana na kwa Sasa amepanga maeneo ya kibugumo huku akiwa anamalizia ujenzi WA nyumba yake iliyopo kisota maweni .

Na hajaoa..

Na mchango WA harusi ametoa tayari ..


Na trehe 13 naolewaaaaaaaa๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ

Pole wewe ambaye huna hata mtu wa kukushika mkonoooo umeishiwa kuzalishwaaaaaaaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜ poor you๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚
Na uache makasiriko๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mwezenu naolewaaaaaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Pyeeee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
 
Dalili za kuliwa kimasihara zinaonekana hapa
Mpaka amekuja kujiripua hapa nadhani haya ni manyoya tayari...na ukiona manyoya.....๐Ÿ‘๐Ÿ†๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
 
Tuma namba ya mchango PM nichangie hata 10 cartons of Kill Water ๐Ÿ’ฆ
 
Hapa unawatambia wanawake wenzio?

Ili iweje?

Kuolewa unaona ni mafanikio makubwa sana kiasi cha kutamba hivi?

Mbona naona binti ambaye bado hajajitambua sawasawa; na kuijua thamani yake? Am I wrong?

Anyway. Ndoa zina changamoto zake; na angalia sana tambo hizi zisije kugeuka shubiri na majuto. Ingia huko ukiwa open minded kwamba unaingia kwenye mapambano.

Naomba ukawe na ndoa njema na iliyobarikiwa...
 
Me mwenyewe nimekupenda maana naona una akili za kujitambua.Kwani una elimu kwa kiwango gani?
 
Sasa uko tayari kuolewa naye kama atakuhitaji? Akili za wanawake za ajabu sana. Unamtaka vya mwanaume siyo mwanaaume mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ