Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #21
Wadukuzi wanasema huyu jamaa ni mlinzi wa magari ya viongozi pale getiniImagine ng'ombe aliyekatwa mkia anapata uteuzi mnono wakati wewe kutwa upo Lumumba unapiga miayo umeachwa hapo uendelee kunywa wanzuki.
View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?
Mwenye majibu atusaidie.
Jpm yupi?? Labda mwingine.JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Acha kumsingizia Mungu vitu vya ajabuJPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Ha ha ha ha haHuyu ni mchezaji wa kuazima kutoka CUF siunajua tena CCM kuna uhaba wa viongozi.
Mungu yupi huyo? Mungu wa hapo gheto kwa Cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi?JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Kule kwa kina mzee wa 'niguse ninuke'Kabila hili lipo wapi?
Kuuliza si ujingaKwanini Wanawake hampendani hivyo asiee. Yani ya kina mdee kulamba shavu la viti maalumu yamekuuma bado na huyu mama wa watu ambae hata hukuwa kumfahamu nae imekuumiza kupewa shavu Basi nenda mwenyewe Sasa kwa jiwe ukaombe uteuzi ili uache kuja kuuliza maswali ya kinafiki hapa jf.
Aisee[emoji2][emoji2]Kama alikuwa CUF then akahamia CCM na sasa kapewa Ubunge jimbo la Ikulu, huyu bila shaka ni Afisa Kipenyo
If it quacks and walks like a duck, then it is a duck
Kwa niguse ninuke kuna wamwera so mama ni mmwera na sio mmwelaKule kwa kina mzee wa 'niguse ninuke'
Kumbe Erythrocyte ni mama? Oh sikujua, naomba kama ni kweli anisameheKwanini Wanawake hampendani hivyo asiee. Yani ya kina mdee kulamba shavu la viti maalumu yamekuuma bado na huyu mama wa watu ambae hata hukuwa kumfahamu nae imekuumiza kupewa shavu Basi nenda mwenyewe Sasa kwa jiwe ukaombe uteuzi ili uache kuja kuuliza maswali ya kinafiki hapa jf.
Sure CCM haina viongozi kabisa. Huwa na waambia watu ukitaka kujulikana na kuja kuwa kiongozi na kula maisha serikali ya Tanzania baasi jiunge kwanza na upinzani ili uwezo wako ujulikani.Vijana wa UVCCM ni nyumbu tu.Huyu ni mchezaji wa kuazima kutoka CUF siunajua tena CCM kuna uhaba wa viongozi.
Mnyakyusa wa Rungwe.Kabila gani
Aliunga juhudi kumbeMnyakyusa wa Rungwe.
Kwanini unasema akusamehe mkuuKumbe Erythrocyte ni mama? Oh sikujua, naomba kama ni kweli anisamehe
Sawa mkuu wangu.Kuuliza si ujinga