Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

Huyu mama alikuwa CCM, akakatwa jina basi akaona isiwe taabu akahamia CUF. Alipoona kuwa hawezi kurudi tena kupitia CUF akaona tena isiwe taabu akarudi CCM. Na ili apalilie zaidi safari yake ya kurudi akamsifia Mheshimiwa Rais halafu akawabeza CHADEMA kwa kusema hawana uungwana na bora wamefukuzwa maana Bunge limetulia, hamna fujo tena. Sasa kafanya nini kwa wananchi wake akiwa mbunge, hilo sijui.

Amandla...
 
p
 
Mbona Lipumba na Pascal Mayalla wamesahaulika?
Tufanye maombi ya siku tatu kama yaliyoipeperusha COVID19 original badala yake ikaja COVID19 ya warembo ili watani zangu wa jadi Prof Lipumba na Pascal Mayala wapate uteuzi wa viti maalumu!!!!
 
We unataka awe nani? Si umeambiwa anaitwa Riziki Lulinda, acha umbea.
 
Au labda ni mkakati wa kudondosha vipande vya mkate kwenye kambi yenye njaa ili mvurugane.
 
sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao
Mawazo kama haya yanaonyesha kamanda umeishiwa hoja, ila inabidi uanzishe post kama hizi ili kuremain relevant. Too bad!
 
Huyu ni mchezaji wa kuazima kutoka CUF siunajua tena CCM kuna uhaba wa viongozi.
Alikua ccm wakat magu anaingia madarakan 2015 akafanyiwa figisu na kina nape ndo akahamia cuf akapewa kiti cha upendeleo na maalim mwenyewe..sasa tena amepewa kiti cha upendeleo na magu...mama ana bahat zake huyu japo ni mtu wa dini sana analisha yatima sana anajenga sana misikiti lakn pia anaijua fitna vizur sana
 
Umenena kweli CHADEMA wakiona wakinamama wamechaguliwa ubunge wanawashwa sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…