Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM

Kama ni kweli mbona Nyerere alikubalika kwao?

Acheni kuhalalisha kukataliwa kwa mashetani.

Kukataliwa ni majibu sahihi kwa roho zao za kifedhuli!
 
Usione kujibaraguza humu, naye ni mmoja kati ya hao 19. We know her more than she knows herself.
Lakini kama ni kujikomba, hakuna mfanowe. Nakumbuka alikuwa akileta visredi uchwara kumsifia tototundu
 
Chadema kuna viongozi ?au wapiga dili? Ahaa ona walivyowauza covid19😅😅
 
Mawazo kama haya yanaonyesha kamanda umeishiwa hoja, ila inabidi uanzishe post kama hizi ili kuremain relevant. Too bad!
Wewe kumbe ni ccm mshika jezi ! hizi ni nyuzi fikirishi tunazileta humu baada ya malalamiko kutoka ndani ya lumumba kwenyewe , watu wanakesha kununua shahada na kuhujumu uchaguzi lakini wanaoteuliwa ni wale ambao hawajafanya lolote , we unaona ni kawaida hiyo ?
 
Usione kujibaraguza humu, naye ni mmoja kati ya hao 19. We know her more than she knows herself.
Basi chadema ni hatari sana , kama imeweza kuchomeka mamluki wake kutoka kyela ndani ya COVID 19 wa Ndugai .
 
Ng'ombe aliyekatwa mkia anapewa nafasi wakati kuna mataga wanataabika Lumumba kukipambania chama
 
Musiba nae Vipi Mwanaharakati Huru au yeye atachukua nafasi ya Mwenezi?
 
Msikilize kwanza hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Afisa mraba
 
Ni chakula ya mkuu on the other side mambo ya kupikiwa wali wa nazi yakamchanganya mama wa kiswahili huyo mama wa mkuu huko geita kuna nazi?atawezana wapi?[emoji1787]
Duu watu mna mambo umbeaumbea tuuuuuuu
 
Kama alikuwa CUF then akahamia CCM na sasa kapewa Ubunge jimbo la Ikulu, huyu bila shaka ni Afisa Kipenyo

If it quacks and walks like a duck, then it is a duck
Cha kuongezea,huyu mama alikuwepo kwenye ile list ya wabunge wa viti maalim waliotimuliwa na Lipumba kipindi kile.
 
Kama ni kweli mbona Nyerere alikubalika kwao?

Acheni kuhalalisha kukataliwa kwa mashetani.

Kukataliwa ni majibu sahihi kwa roho zao za kifedhuli!
Hujawahi kusikia Lissu anasemaje juu ya Nyerere? faiza Fox wa JF je?
 
Kwa hizo sifa na hiyo historia, huyo mama aliyeteuliwa huenda ni mshirikina.
Kama huamini, chunguza au subiri muda utatupa majibu.
 
Huyu mama ndo alikuwa anatakiwa na wana MCHINGA na alifanyiwa UMAFIA na kamati maalum ikiongozwa na mzee wa bao la mkono kwenye kura za maoni kumfichia aibu SALMA KIKWETE.
Wananchi wakaahidi kuweka mgomo baridi wa kugoma kumpigia kura Salma mpaka ilibidi mumewe aende kuwaangukia.

Inasemekana huyu mama ni kati ya wale waliotaka kujiunga na Membe baada ya umafia aliofanyiwa na akina Kikwete.
Kuna sababu nyingi zilizofanya Magu asiende kusini wakati wa kampeni.

Hapo Magu kaua ndege kadhaa kwa jiwe moja. Kawapoza wa Lindi, kachagua mwanamke na mtu mwenye ulemavu.


Ngoja tusubiri tuone mzee Kessy atapangiwa wapi, maana si kwa kafara ile aliyotolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…