Road trip update: Dar - Chato - Dar | Kilometa 3,585 | Average Consumption ya 36 km/L, nimetumia Mafuta ya Tsh 460,000/= tu!

Safi sana Mkuu.

Mi najipanga na Dar-Tunduma, Sumbawanga, Mpanda, Kigoma, Napita Nyakanazi, Napanda Ngara, Napita hapo Kati Hadi Kayanga, Nikifika kyaka napandisha home Misenyi...Navuka Mutukula, Then Naingia Border la Busia, Malaba Kisumu, Nairobi then Namanga. Back to Dar via Arusha...

Nakaribisha wahisani, gari nzuri ipo.
 
Safi sana, hiyo mizunguko yote ulitumia bei gani? yaani gharama yote
Bajeti kuu ni mafuta, kulala na kula. Vya ziada ni kulewa, Kutembelea vivution, maegesho, kutosha gari, kuonga, nk.

Mi niliweka tight budget ya 120k kwa siku. Kulala isizidi 40k, Kula 40k, na Mafuta 40k angalau.

Kuna sehemu utatumia cheaper, mfano Kuna siku usiku ulinikuta njiani nikaegesha pembeni ya matrafiki nikaamka saa 2 asubuhi.

Kuna sehemu kula cheap, unakuta msosi wa elfu 5 ni mzuri heavy.

Nilikua siendi kulala hotels kubwa, Malala lodge, sili restaurants zenye majina nakula local, natembelea vivution cheap, pia kwenye gari sikosi snacks, maji, na soda ata moja mbili.

Next time nitatafuta Yale madeli ya wauza ice cream.
 
Kayanga Kwenda Ngara Ni Barabara Ya Vumbi Tu Tena Vumbi Kali Sana Kupoa Mapori Sana Ukipata Changamoto Msaada Kuupata Oops
Kuna Buses Chache Kutoka Bujumbura Kwenda Kampala Tu Zimechoka Hizo

 

Hii ndefu aisee. Angalau 2 weeks
 
Gari inabwia vizuri sana wese 36km/hr ni zaidi ya nzuri.

Speed 34km/hr ni speed nzuri sana kwa faida ya ndugu na familia yako.

Hongera sana ,safari kama hizo za kutalii ni nzuri kwa ajili ya kupunguza stress na kuongeza dopamine mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…