Leo nimeona ni 10MKweli. Mwaka 2024 kilikua 6.5, 2025 kikawa 7.4 sahivi 8.1 Mil.
Mkuu si nasikia yenye kuanzia KM 150,000 na kuendelea kuwa betri i akuwa imeanza kuchoka na betry cell zinakuwa zimenza kufa.Kwa sasa me Nina fundi ambae ana handle vingi sana. Kuanzia spare. Na hadi sasa sijakutana na changamoto kuu.
3rd gen kuanzia 2013 unyama, Kuhusu Kilometa, sio ishu.
Battery kufa haitegemei Kilometa tu. Mtu anaweza akawa ana Kilometa chache ndio ikawa imekufa.Mkuu si nasikia yenye kuanzia KM 150,000 na kuendelea kuwa betri i akuwa imeanza kuchoka na betry cell zinakuwa zimenza kufa.
Mkuu hiyo CBR650OR ni gari aina gani?GP5 ya 2013 used to be cheap. Very. Nakumbuka ilivokuaga chini ya Mil 6 nilitaka ninunue kama 2nd car. Nikabadiri mawazo, nikanunua CBR650R