Road Trip yangu ya Kukumbukwa mwaka 2018

Yaani story nzima, nimependa tu mlichukua Jameson..vinginevyo ingakua story ya kahawa
 
Umeanza vizurii...umemaliza kwa majonzi..
 
Yaani story nzima, nimependa tu mlichukua Jameson..vinginevyo ingakua story ya kahawa


Unatandika samaki wa kuchoma na ugali wa dona laini kidogo na mboga nyingi ya majani, samaki unamchapa limao ya kutosha, ukimaliza unakaa nusu saa unatandika maji ya kutosha then unaanza kuvuta shots za kitajiri za whiskey yako kama unalamba lips kumbe ndio unameza hivo, baadae unamsikiliza franco, unarudi kwa fally na ferre gola, ukiwa unasinzia unamtafuta mbilia bel nakei nairobi, unaweka celin dion sauti ya mbali sana hadi unasinzia huku ukiwaza mipango yako ya kesho.
 
nimependa namna ulivyoweka maelezo yako yakielezea atmosphere nzima ya kuinywa jameson. safi sana.

ktk hii trip,mimi na wale wenzangu wanne kila mmoja alikuwa "mtamu" kifedha. kwa kuwa ilikuwa ni trip ya kikazi, financier wetu alihakikisha account zetu za bank zinacheka mda wote.

tulipofika geita, tukachangishana fedha kidogo halafu tukanunua chupa mbili kubwa za jameson. zilituchangamsha sana.
 

Ujue kuna pombe ukinywa huoti ndoto mbaya, katandike hizi za bukubuku uone koo linavoanza kuwasha, kichwa kinakua kizito kama ulibeba matofari basi tu dunia haina usawa
 
rhumba ya mkali ferre gola. ndio ngoma zangu ninazopenda kusikiliza ninapokuwa ktk roadtrip.
Wewe we have something in common nami, nami napenda sana hizo nyimbo, nikibadilisha hapo ni msondo, sikinde, vijana jazz ,tatunane etc etc,nikimpa lift mtu wa kuiga amapiano nitamshusha middle ya kitonga pass au kwa huruma katikati ya mikumi national park
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…