Passenger19
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 597
- 955
Mimi nimeupenda tuu huo wimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetisha mkuu hata Mimi huwa nazikubalirhumba ya mkali ferre gola. ndio ngoma zangu ninazopenda kusikiliza ninapokuwa ktk roadtrip.
Yaani story nzima, nimependa tu mlichukua Jameson..vinginevyo ingakua story ya kahawanaandika article hii baaada ya kupata inspiration kupitia uzi wa RRONDO.
Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?.
mimi ni subscriber na mfatiliaji mzuri wa uzi huu.
ilikuwa december 2018, ikinihusu mimi na jamaa zangu watano wa idara fulani.katika hao watano mmoja alikuwa dereva.
gari tuliyotumia ni off-road toyota land cruiser 4.5 V8 DLX 2013. mimi sio mtaalamu wa magari, bila shaka watu wa magari mnajua speed yake na namna inavyoweza kuhimili mikimikiki ya safari ndefu.
trip ilianzia dar mpaka musoma. we stayed at musoma for six days. then we left for another roadtrip to bukoba.
tuliondoka musoma mida ya saa 11 asubuhi. around saa nne asubuhi tukafika kuvuko cha busisi mwanza. tukavuka na kuanza safari ya kuitafuta geita town. tukafika geita na baada ya mapumziko ya nusu saa tukaanza safari kuitafuta chato.
tulipita buzirayombo, itari then chato. tulisimama kidogo kwenye makazi ya marehemu Magufuli. tukapiga story kidogo na jamaa zetu wengine tuliowakuta pale nje kwenye mgahawa wake. sina hakika kama ule mgahawa bado unaendelea kutoa huduma au lah.
wale jamaa zetu wakatukaribisha soup ya samaki sato. hatukulaza damu, soup ilikuwa tamu sana. wale sato walikuwa ndio kwanza wametoka kuvuliwa ziwani, si unajua tena kanda ya ziwa.
mwaka 2018 magufuli alikuwa wa moto sana, he was in his prime time kiasi kwamba kama ulikuwa safarini na gari ukatize chato jirani na makazi yake, unajikuta tu unakatiza kwa heshima na adabu(nimechomekea tu, hili sio jukwaa la siasa[emoji1787]).
basi tukaamsha zetu kuitafuta nyamirembe, katemwa, pori la biharamuro, nyakabongo, kyamyorwa, muleba na hatimaye around saa tatu usiku tukaingia zetu bukoba town.
tulikuwa hatuna haraka, mwendo wetu ulikuwa very reasonable kama watalii vile. tulisimama mara kwa mara njiani kupiga picha na simu zetu.
kwangu hii ni trip ya kukumbukwa sana, ilijaa matukio mengi ya furaha. matani,vicheko na story za hapa na pale.
kipande cha kutoka geita kuitafuta chato tulichangamka sana, kwasababu tukiwa geita tulinunua chupa mbili kubwa za jameson. mimi na wenzangu wanne ndio tulikuwa tunazinywa.
dereva wetu ni kijana wa kipemba, ustaadh fulani mjanja mjanja. yeye na mambo ya ulevi mbalimbali. starehe yake kubwa ni watoto wa kike[emoji1787].
naambatanisha kipande cha video nilicho record siku hiyo. ila sikumbuki exactly ni aneo lipi. nadhani ni nyamirembe au nyakabongo. nawaachia assignment wakali wa location.
NB: mmoja kati ya jamaa yangu niliyekuwanae kwenye hii road trip ameshatangulia mbele ya haki miezi mitatu iliyopita. i dedicate this thread to him. may his soul continues to rest in peace. we are dust and to dust we shall return.
View attachment 2400378
Umeanza vizurii...umemaliza kwa majonzi..naandika article hii baaada ya kupata inspiration kupitia uzi wa RRONDO.

safi sana mac alpho. tulipita mitaa ya kwenu.Umetaja Buzirayombo umenifurahisha sana, ni nyumbani kwa mother angu aiseeh.[emoji1535]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani story nzima, nimependa tu mlichukua Jameson..vinginevyo ingakua story ya kahawa
nimependa namna ulivyoweka maelezo yako yakielezea atmosphere nzima ya kuinywa jameson. safi sana.View attachment 2400731
Unatandika samaki wa kuchoma na ugali wa dona laini kidogo na mboga nyingi ya majani, samaki unamchapa limao ya kutosha, ukimaliza unakaa nusu saa unatandika maji ya kutosha then unaanza kuvuta shots za kitajiri za whiskey yako kama unalamba lips kumbe ndio unameza hivo, baadae unamsikiliza franco, unarudi kwa fally na ferre gola, ukiwa unasinzia unamtafuta mbilia bel nakei nairobi, unaweka celin dion sauti ya mbali sana hadi unasinzia huku ukiwaza mipango yako ya kesho.
nimependa namna ulivyoweka maelezo yako yakielezea atmosphere nzima ya kuinywa jameson. safi sana.
ktk hii trip,mimi na wale wenzangu wanne kila mmoja alikuwa "mtamu" kifedha. kwa kuwa ilikuwa ni trip ya kikazi, financier wetu alihakikisha account zetu za bank zinacheka mda wote.
tulipofika geita, tukachangishana fedha kidogo, hesabu ilipotimia tukanunua chupa mbili kubwa za jameson. zilituchangamsha sana.
Wewe we have something in common nami, nami napenda sana hizo nyimbo, nikibadilisha hapo ni msondo, sikinde, vijana jazz ,tatunane etc etc,nikimpa lift mtu wa kuiga amapiano nitamshusha middle ya kitonga pass au kwa huruma katikati ya mikumi national parkrhumba ya mkali ferre gola. ndio ngoma zangu ninazopenda kusikiliza ninapokuwa ktk roadtrip.