Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Ogopa mfumo ulioua vijana kwa risasi za moto wasio na silaha!Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
View attachment 3519012
System utaing’oaje wakati kuna fazafaka hataki ing’olewe kwasababu inamnufaisha yeye na familia yake?Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
View attachment 3519012
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
View attachment 3519012
Anaenda kujibu mashtaka ya mauaji ya kimbari ICC ni SamiaShida ni ccm syo samia.aliyeua watu na kuteka ni ccm cyo samia.km ni samia ccm wangekemea samia angeacha kwa sababu wanauwezo wakumtoa kwnye chama.
Samia kawekwa tuu...Samia ndio mkubwa wa System.
..mkubwa wa System akiwa na matatizo System nayo inakuwa na matatizo.
Ccm gani mwenye uwezo wa kumkemea Samia? Dodoma tu pale alikiuka katiba wote wakafyata, aliyejaribu kuhoji katekwa na hajulikani alipoShida ni ccm syo samia.aliyeua watu na kuteka ni ccm cyo samia.km ni samia ccm wangekemea samia angeacha kwa sababu wanauwezo wakumtoa kwnye chama.
Hakuna mtu anayelazimishwa kama hataki. Uongozi una maslahi ndio maana wapo tayari kuua watu muda wowote.Samia kawekwa tuu.
Na kama system haimtaki haichukuwa i hata dakika atangoka.
Unayo habari kama alitaka kujiuzulu wakati wa Magufuli? System ikamzuwia.
Sasa sio yeye ni Inner circle.
Unadahini Museveni hataki kutoka Anataka lakini Inner circle ndio inayo muweka.
Sawa na kagame
Sawa na wengine.
Innercircle ni matajiri na mafisadi na wanao hodhi mali ya taifa.
Huo mfumo ni wakina nani hasa?Samia kawekwa tuu.
Na kama system haimtaki haichukuwa i hata dakika atangoka.
Unayo habari kama alitaka kujiuzulu wakati wa Magufuli? System ikamzuwia.
Sasa sio yeye ni Inner circle.
Unadahini Museveni hataki kutoka Anataka lakini Inner circle ndio inayo muweka.
Sawa na kagame
Sawa na wengine.
Innercircle ni matajiri na mafisadi na wanao hodhi mali ya taifa.
Bongo hakuna kitu kinaitwa mfumo. Bongo aliye madarakani kwa muda huo ndio anayefatwa kwa kila anachotaka.Huo mfumo ni wakina nani hasa?
Kuna idadi kubwa ya watanzania/watanganyika wanaoona na kuamini kuwa Samia ndio tatizo kubwa sana lililopo nchini hivi sasa. Kwamba akiondolewa toka madarakani na kuwajibishwa ipasavyo, basi tatizo litakuwa limeisha, nchi yetu itarejea kuwa njema (kwenye right track) kama ilivyokuwa kabla ya uRais wake...Samia ndio mkubwa wa System.
..mkubwa wa System akiwa na matatizo System nayo inakuwa na matatizo.