sawa mkuu,lakini umewahi kusikia kuhusu embargo aliyowekewa Iraq ? ilikuwa ni kwa sababu ya mambo mengi ikiwemo demokrasia na haki za binadamu, US ana tabia ya kufanya mambo taratibu na huwa wanasubiri at a right time ambapo hawatolaumiwa wao ,kwa mfano sasa hivi inasemekana wale wavaa vizibao kule chini wanafadhiliwa na US na sababu kubwa ni Gas yetu!!!
Siasa za Middle East ni complicated sidhani kama kuna nchi ambayo ni undemocractic na yenye kukandamiza haki za binadamu kwenye lile eneo na dunia kwa ujumla kushinda Saudi Arabia na ndio ally mkubwa wa mabeberu.
Siasa zao ni pasua kichwa kuna wale wanaotaka access to supply of energy resources kwa dunia na security of supply hizo ndio interest za mabeberu.
Na kwa waarabu wenyewe issue ni fight for regional leadership, protection of their chiefdoms and religious allies za Sunni and Shia.
Ukichanganya interest A za mabeberu na B siasa za unafiki miongoni mwa nchi za kiarabu wenyewe ni time bomb; yeyote anaweza kuwa next Iraq akivuruga interest za West ama sivyo wajifunze kushirikiana.
Iraq dakika za mwisho alikuwa hana allies ndani ya M.E halafu anajifanya Mbabe, Libya had the same fate too.
Gas na mafuta za EA aziwezi kuwa na interest za vile kwa mabeberu resources zenyewe zina lifetime ya 20-25 wakati huko Venezuela, Middle East, North Pole na Russia kuna reserves za miaka zaidi ya 100 huko sasa ndio kwenye siasa za mafuta.
Sisi ni watu ambao wanataka kutunyonya tu na contract za ovyo with overpriced investment sio kwa sababu wana shida ya natural resources per se, bali kampuni zao zipate tender ukiweza kuipa kampuni moja ya US $5 billion tender ya ku supply vifaa kwenye LNG plant yako umetengeneza ajira nyingi sana kwenye supply chain ndani ya US, hela ambayo umekopa kwao tena unarudisha kwa interest, umeajiri technocrats wao in short katika $23 billion investment wewe unapata LNG plant ambayo after 25 years sijui utaifanyia nini wao wanapata asilimia kubwa ya hiyo hela kwenye uchumi na tax collection; that is the main interest.
Kwa ivyo sidhani mtu kama huyo atataka kuona instability sehemu kama hiyo because he has more to loose unless lengo iwe kuigawa nchi and that is impossible; the next alternative iwe kubadili serikali but then iliyopo ina cooperate vizuri nao.
Kwa maana hiyo sioni ushiriki wa US kusini. Security matters involve intelligent analysis (kufikiria motives kwanza) sioni hiyo sababu ya US kuaribu maslahi yake wakati kila kitu poa walau on Mozambique side of things.