Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Kwa kweli tulio wengi uelewa wetu ni mdogo sana... madhani kama tuliona tunakandamizwa basi tulitakiwa kuingia mtaani tuandamane tupigwe risasi ndio hao wazungu wangetusaidia ila sisi tunaandamana nyuma ya keyboard zetu tukisubiria akina Amsterdam watusaidie. Pooor us
 
Vipi uchaguzi wa America,Trump amekubali kuachia ofisi? Wajadili na huo wa USA
 
Upuuzi mtupu.
 

Chuki? Kwahio uhuru aliopigania nyerere ilikua ni chuki? uko sawa upstairs? ebu tupige mahesabu ya haraka haraka chukua WW1 + WW2 nipe idadi ya waliokufa alafu leta idadi kama hio kuwahi kutokea afrika nzima, (hii ni kwa kuanza tu, unamjua hitler wewe, Benito Musolin unamjua?)

-
 
Na ile ya uingereza kujitoa umoja wa Ulaya wameshalimaliza?

Yakwao imewashinda wanashumalia ya watanzania.
 
Nini faida ya Uhuru Hali watu wanakufa kwa umasikini na maradhi huku tumeshindwa zibadili raslimali kuinua maisha ya watu.
Nazungumzia ukatili utokao na matendo ya watawala ktk kulinda tumbo.Kwa uchache Mugabe ameuwa wazimbabwe elf 2, nkurunziza laki 5, achilia kamuzu banda,Bashir na darfur,abacha,moi, mobutu, bokasa, nguema,iddi amini,siad bare,menguist marium,nk watu waliouliwa na madikteta
 
Nyie Mashoga mbona hamjadili yenu, Mnamaslahi gani na Watanzania
 
Kwa hiyo unajua ni chama gani kimekuwa na Akili sana kwa haya yaliyotendeka mpaka tufurahie kuwa vijana watu wamejifunza kutokana na hilo!
 
Tofautisha kushindwa na kuzuiwa. Watu walizuiwa kuandama ili kuficha aibu ya watawala kwani barabara zingefungwa .
 
Ni kwamba wao ndo wana uchungu sana na nchi wazungu hawa hawa wanaokwepa kodi za madini

We actually call it neo~colonialism
 
Na ile ya uingereza kujitoa umoja wa Ulaya wameshalimaliza?

Yakwao imewashinda wanashumalia ya watanzania.
Hao vichwa huwa vikiwawanga mambo yao yakikwama, huwa wanakuja kuvipoozea huku Afrika; ndiyo maana mapopoma tu ndiyo yanawasapoti hao akili-viduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…