Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

Vitu vitakavyomnyima kura Lisu ni vifuatavyo
1.kupinga ununuzi wa ndege huko kutamkoseha kura nyingi mno kanda ya ziwa ambako ndege ndio tegemeo lao kuu kwa ajili ya kusafirisha samaki wao waqnaowavua ziwani na wengi hutumia usafiri huo pia mikoa ya ZanzibaR,Kilimanjaro,Arusha na Manyara ndege kwao huziona za muhimu mno saba ndizo huwaletea watalii kila siku

Mbeya pia kupinga ununuzi wa ndege kutamgharimu sababu uchumi umeanza kufunguka kupitia watalii wanaotua kule kwenda mbuga za wanyama zilizoko nyanda za juu kusini na pia usafirishaji wa abiria na mizigo ya kibiashara na kilimo kutoka NA KWENDA nchi za SADCC

Dar es salaam ndio baba lao kwenye mambo ya ndege kuzipinga kutamgharimu mno uchaguzi huu Dar wanafahamu umuhimu wa ndege kuliko mkoa wowote Tanzania

2.Atakosa kura kwa wakatoliki walio wengi sababu kwao Magufuli ndio yuko karibu nao kuliko yeye Lisu.Magufuli ana mahusiano ya karibu na viongozi wakongwe wakubwa wa kanisa katoliki wanaolijua kanisa in and out.Lisu yuko mbali sana na kanisa hata jina lake la ubatizo alilikana akajipa jina la kienyeji la Tundu.Kawaida wakatoliki mtoto akizaliwa hubatizwa kwa kupewa jina la mtakatifu ,Kwa kulikana jina la mtakatifu na kujipa jina la Tundu alikosa neema na ulinzi wa mtakatifu husika kwa imani ya katoliki ndio maana unakuta anaitwa TUNDU na ana MA TUNDU ya risasi mwilini.Wakatoliki jina ni kitu kikubwa hasa la kwanza.Toka dunia iumbwe hakujawahi tokea mtakatifu anaitwa TUNDU
 
Sema kilaza wewe wa Lumumbaendo hutampigia kura. Watanzania wengi kwa mamilioni tunampigia kura za kishindo Tundu Antiphas Lissu na kuzilinda
Msaliti Lisu atapata 20% na hiyo itachangiwa na kina Amsterdam na Ponda.

Subiri hadi jumatatu ijayo uone kimbunga cha JPM
 
  • Thanks
Reactions: len
Ponda ni Shekhe Mtetezi wa Waisilamu dhidi ya Uonevu wa taasisi za CCM haswa Bakwata.

Bob Amsterdam ni Wakili wa Lissu na ndiye aliemwambia Lissu aje Nchini ili hao waliokuwa wanasema Watamshambulia tena wamguse ili awafungulie mashtaka

Sasa neno Kuangusha litakuwa limepoteza maana kwenye kamili ya ccm
Ndio sasa Amsterdam anaamua kuingilia masuala ya uchaguzi wa tz kwa kutupangia wa kumchagua? Yeye kama nani? Watz siyo wajinga
 
  • Thanks
Reactions: len
Tundu Lisu atakosa kura za waumini wa kanisa la MOravian Tanzania sababu ya kuzunguka na kiongozi muasi askofu Mwamakula .Atakosa kura zao Mbeya,Rukwa ,Tabora ,Songwe na Dar es salaam ambako lina waumini wengi mno hatambuliwi na kanisa zima
 
Tuna Leo na Kesha kabla Robert na nduguze hawajaagwa na ni mwisho wa matamko Yao ya kipuuzi

Hatuwezi kuchaguliwa Rais na Mabeberu sisi,

Wakajipange upya tena hao wahuni
 
Kuhusu mali zao kutotapanywa hovyo na walafi, shule zao kutokandamizwa na serikali na Baraza la mitihani. Na watu wao wenye elimu na uwezo kutonyanyaswa kwenye maofisi ya umma kwa sababu tu ni waislamu kama Prof. Assad
Anatetea waislamu kuhusu nini??
 
Watanzania watapiga kura za hasira dhidi ya lissu Kwasababu lissu ameamua kuwatumia watu wabaya
 
Wewe hujui siasa za tz,! Ndio maana ccm itaendelea kutawala.

Lisu sijui hana washauri, kaenda Zanzibar alafu anatamka eti sisi chadema hatuna maslahi na Zanzibar. Kiufupi Lisu hajui siasa ya tz ili uungwe mkono wakupe urais unapaswa kuwaje.
Naona unahamisha magoli sasa, ushatoka kwa Shekhe Ponda. Shekhe Ponda hana madhara kwa Lissu, ndio maana unaona nashekhe wabakwata wanasema hawajamuagiza maana wanamjua. Hapo kwa Shekhe Ponda Lissu kacheza kama pele, huko kusini shekhe Ponda anaonekana shujaa kuliko kiongozi yeyote wa serikali au dini. Anachosema shekhe Ponda ndio waaumini wengi hufuata. Kama huamini subiri.
 
Tundu lisu hamjui ponda, ponda hatalidhika na uongozi wa Lisu hata siku moja, na baada ya kuitoa CCM ponda ataanza kumtoa Lisu na nduo atajuta kumjua ponda na ajenda zake.
Ponda anapigania mashekhe waliobambikiziwa kesi watolewe magerezani, au wapelekwe mahakamani mahakama itoe hukumu. Huo ndio ugomvi wa Ponda na Serikali, na iramradi Lissu kaahidi atawatoa basi Ponda hana hiyana lazima ampiganie Lissu. Sisi huku misikitini ndio tunajua familia zahao mashekhe zinavyoishi, bakwata hawajui ndio maana sisi waislam kura zetu nikwa Lissu .
 
Naona unahamisha magoli sasa, ushatoka kwa Shekhe Ponda. Shekhe Ponda hana madhara kwa Lissu, ndio maana unaona nashekhe wabakwata wanasema hawajamuagiza maana wanamjua. Hapo kwa Shekhe Ponda Lissu kacheza kama pele, huko kusini shekhe Ponda anaonekana shujaa kuliko kiongozi yeyote wa serikali au dini. Anachosema shekhe Ponda ndio waaumini wengi hufuata. Kama huamini subiri.
Ndio maana nikakwambia Lisu hajui siasa. Anafikiri pale anafanya harakati.

Ponda na Amsterdam watachngia sana anguko la Lisu uchaguzi huu
 
Tundu Lisu atakosa kura za waumini wa kanisa la MOravian Tanzania sababu ya kuzunguka na kiongozi muasi askofu Mwamakula .Atakosa kura zao Mbeya,Rukwa ,Tabora ,Songwe na Dar es salaam ambako lina waumini wengi mno hatambuliwi na kanisa zima

Sisi waislamu tushapata muongozo kutoka kwashekhe wetu, shekhe Ponda.
 
Back
Top Bottom