Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Mkuu hongera kwa post hii. Huyu mjinga kama ni wa kuelewa nadhani hili jibu umemaliza kila swali.Mimi mkrito na ninaona sawa Sheikh Ponda kumpigia kampeni Lissu. Udhalimu wa Jiwe umeathili wote si waislamu, si wakristo. Wakristo na Waislamu tumeona Jinsi Jiwe wenu akishirikiana na Ndugai walivyomnyanyasa Prof Assad kwa sababu tu anasimamia uislamu wake. Wakristo na waislamu tumeona jinsi Askofu niwemugizi alivyoteswa na vyombo vya usalama vya magufuli kwa kuambiwa sio Raia na kunyang’anywa passport kwa sababu tu alisimamia kweli yake katika ukristo
Kuhusu Robert Amsterdam wala hatushangazi na zaidi tunamfurahia. Kama mawakili wa ndani wanaompigania Lissu kina Fatma Karume mnalipua ofisi zao na kuwafuta uwakili sasa mnategemea Lissu aendelee kutumia mawakili wa ndani Tanzania???
Mtu mnataka kumuua na mmemsababishia ulemavu kwa marisasi yenu alafu hata mawakili wa ndani wanaomtetea mnawanyanyasa na kuwavua uwakili alafu ndo aendelee kutumia mawakili wa ndani??? Thubutu yenu.
Mwaka huu Ccm mmeshikwa vibaya sana na lazima muachie madaraka mwaka huu mtake msitake.